Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,115
NakuPM nini sasa?Kwakweli nilitaka nijue hii imenikuta mimi tu au la ila majibu umeyaona kinachotokea.
Kwenye ombi langu nilisema sina nia mbaya ya kuwaharibia zoom tanzania ila huu ujinga aisee umenichosha sasa anyway hongera kwa kupata kazi kwa kupitia zoom tanzania uni pm na mimi nipate
Pole ila mimi sio tapeli wala sina maslahi huko zaidi ya kuitumia km search engine.kusema hapa kunasaidia hata wengine wasijetapeliwa na hao matapeli....hivi mnaotetea huu utapeli tuwaelewaje?
nyuzi za kuwananga hao unaowataja ziko nyingi kwa nini hukuingia huko...
hamtaki watu wajue ili muendelee kuwatapeli?
acheni hizo!!
If so why they are letting some ads to destruct or using their name to do such kind of work? Example in this forum i.e Jamii Forum if you are posting bad things there is an administrator who remove/ban that shit. Also zoom that have their professionals IT to identify which is a real advertised job together with their addresses and which one are fakeThis is not a fully dedicated job website where they can verify agencies or companies manually. It is just a simple basic classified website, and most of these ads are posted for FREE. They can only verify only emails addresses which would not help in this case. I don't think Zoom Tanzania will be able to verify all posts as they might be hundreds of them. However, they could improve their service by alerting its users of potential scammers currently I don't they are doing that.
Sasa zoom wanaachaje watu watumie jina lao na kutapeli wengine?Waliokutapeli ni Zoom?
Here we dare to talk openly my aim was not to blame in such but to remind people and zoom to investigate the job advertisements posted if they are real because now days zoom brand losting alot of job seekers at their web because of that posted shitPole ila mimi sio tapeli wala sina maslahi huko zaidi ya kuitumia km search engine.
Huyo Eng Inc hajaripoti rasmi ZOOM. Angefanya hivyo angekua na haki kuwalaumu.
Kwamba labda hawakuchukua hatua au walichukua ila haikusaidia. Vinginevyo labda kuwapongeza kuwa walitatua shida yake ila sasa kaleta rasmi ili wengine tufunguke.
I agree with you they can do more to identify scammers. For example, they can set a filter to all incoming ads to identify suspicious words contain in ads etc.. There is a different methods they can use (If they know) By the way, I think when user post ads they do moderate and approve manually. However, in your case first thing you should contact them and raise your issue and see what their responses would be. If their responses would be negative then they might be aware what is going on. And therefore they must take some responsibility for it.If so why they are letting some ads to destruct or using their name to do such kind of work? Example in this forum i.e Jamii Forum if you are posting bad things there is an administrator who remove/ban that shit. Also zoom that have their professionals IT to identify which is a real advertised job together with their addresses and which one are fake
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Ila mkuu nilikunukuu ukisema vyuo vyote ukiondoa udsm ni takataka.
Kwakweli kwa moyo mkunjufu na uogope aliyekuumba naomba utengue kauli maana ni ubaguzi+ujinga+sio haki+upumbavu kwa ile kauli yako kwa sababu moja nakupa
Wanafunzi tanzania nzima hawawezi kusoma udsm peke yake na ni ujinga unaenda kusoma udsm sociology au pspa au kozi nyingine isiyo na tija kwa dunia ya sasa kisa tu title ya udsm ndipo utatukuta sisi wenye kacheti tu surveying cha arusha tech au dit au st joseph tukipambana site mbalimbali Africa mashariki na kati
Kwenye mtandao wao kabla hawajaumodifai hapa juzi, kulikuwa na disclaimer 'mtu au taasisi yeyote inayoomba fedha ili kupitisha CV au kukuahidi ajira ni scammer na uripoti' au we ulitaka zoom wawatambue vipi watu hao?Sasa zoom wanaachaje watu watumie jina lao na kutapeli wengine?
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Nimeteleza mkuu tusameheane tafadhaliWewe nawe sijui umefanya nini hapo!!!
Mkuu kaongea anavyofikiria yeye, wewe unakuja kutengua kauli yake na kuongezea kauli nyingine juu eti kozi kama sociology hazina tija kwa dunia ya sasa.
Toa boriti jichoni mwako kwanza!!! Huwezi ukawa unamrekebisha mtu huku na wewe unakashifu watu wengine.
Zoom wahakikishe kampuni au taasisi zote zinazotoa matangazo ya kazi ziwe zinatoa full addressKwenye mtandao wao kabla hawajaumodifai hapa juzi, kulikuwa na disclaimer 'mtu au taasisi yeyote inayoomba fedha ili kupitisha CV au kukuahidi ajira ni scammer na uripoti' au we ulitaka zoom wawatambue vipi watu hao?
[emoji106][emoji106][emoji106]
Jamaa yangu: kwa akili hizo sidhani kama utajashinda usaili sehemu yeyote. Umeshaambiwa kuwa, ukiona mtu anakuomba fedha ndio upate kazi, huyo ni tapeli...bado uko hapa unapiga kelele. Umesoma chooni au chuoni?Zoom wahakikishe kampuni au taasisi zote zinazotoa matangazo ya kazi ziwe zinatoa full address
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kumbe kuleta haka ka uzi ni kosa?Jamaa yangu: kwa akili hizo sidhani kama utajashinda usaili sehemu yeyote. Umeshaambiwa kuwa, ukiona mtu anakuomba fedha ndio upate kazi, huyo ni tapeli...bado uko hapa unapiga kelele. Umesoma chooni au chuoni?
Unatujazia server tu. Kama umeshaambiwa ukiona dalili fulani kwenye mchakato wa ajira achana nao huo ni utapeli, halafu ukurupuke huko ZOOM ICHUNGUZWE sasa sijui ichunguzwe kwa lipi na ushapewa angalizo na hao hao zoom.
Lengo lao lingekuwa moja wasingetoa angalizo. Shida yetu tunapenda milolongo mireeeeefu. We ukishaona unaombwa utume fedha, mtukane mitusi mizito huyo anayekuomba fedha halafu kata simu. Zoom wameshakutahadharisha kuwa wanaoomba fedha ni matapeli, sasa ulitaka wakusaidieje?me pia nimuhanga yani kila nikiforwad cv lazima nipate izo simu nilijaribu kuwasiliana na zoom lakini ushirikiano ukawa zero nikaona lengo Lao ni moja na hao matapeli why nireport wanipotezee hata nikipna post uko nitaitafuta iyo ofisi au company