Pole mkuu. Hao watu walikuwa wanajitambulisha kwako kwa njia gani? Kwa simu, email au mlikuwa mnakutana? Sababu kama wanasema CV yako nzuri si wangetakiwa kukualika kwenye ofisi husika kwa usaili. Kama hawajafanya hivyo utaona kabisa hiyo ni harufu ya utapeli wa kimtandao. Wengi wanatumia scam hizo lakini hapa kosa siyo la Zoom Tanzania wameweka kwenye T&C kwamba mtumaji wa matangazo ndiyo mwenye jukumu na dhamana ya tangazo lake.
''CONTENT
You understand that all postings, messages, text, files, images, photos, video, sounds, or other materials (hereinafter referred to as “the Content”) posted on, transmitted through, or linked to ZoomTanzania Website, are the sole responsibility of the person from whom such Content originated. If you post/submit content, you understand that you are entirely responsible for each individual item of Content that you post, email or otherwise make available on the ZoomTanzania Website. Furthermore, Content available through the ZoomTanzania Website may contain links to other websites, which are completely independent of ZoomTanzania. ZoomTanzania makes no representation or warranty as to the accuracy, completeness or authenticity of the information contained in the site. As a site user, you agree that you must evaluate, and bear all risks associated with the use of any Content found on the site, that you may not rely on, and that under no circumstances will ZoomTanzania be liable in any way for any Content or for any loss or damage of any kind incurred as a result of the use of any Content posted, emailed or otherwise made available via the ZoomTanzania Website. ZoomTanzania shall have the right in its sole discretion to refuse, delete or move any Content on the Website, for violating the letter or spirit of the TOU. Scams, false advertising, inaccurate or misleading pricing, false representations of any kind and related behavior is not accepted. When identified by ZoomTanzania staff or reported by site users, such Content will be deleted from the site and the account from which the Content originated will be blacklisted and prevented from posting additional Content in the future.''
Sema wewe kama mtumiaji ulitakiwa kuwataarifu Zoom wenyewe kuhusu swala hilo hili wachukue hatua stahiki ya kuwafuta hao watumaji matangazo hayo.
Kwakweli nilitaka nijue hii imenikuta mimi tu au la ila majibu umeyaona kinachotokea.Nimepata kazi 2 tena high profile tu kupitia ZOOM. Sijawahi kutapeliwa wala kupigiwa simu ya hvo.
Jirani na APPLY NOW kuna disclaimer kuhusu kilichokutokea. Ulifaa kuwataarifu ZOOM maana na namba wameweka. Sio kuja kulialia JF.
Humu acha tumnange BASHITE na baba mlezi wake hadi kieleweke.
Hawana makosa ila watu wanatapeliwa kwa kupitia wao yani inakuwaje waruhusu watu wasiojulikana kutumia brand yao kutuma matangazo yao ya kazi? Hawalijui hilo au ndo wanaacha watu wapigwe kisa wakiingia kwenye website yao wenyewe kwao faida tu?Kosa la zoom sijaliona hapo,nimeshauza magari mawili zoom,na wateja wamefurahia sana.
Mitandao ya kijamii unatakiwa uwe mwangalifu sana,humu Jf nilishawahi kusulubiwa na member mmoja.Japo for the time being atakuwa ana hali ngumu kwa sasa.
kusema hapa kunasaidia hata wengine wasijetapeliwa na hao matapeli....hivi mnaotetea huu utapeli tuwaelewaje?Nimepata kazi 2 tena high profile tu kupitia ZOOM. Sijawahi kutapeliwa wala kupigiwa simu ya hvo.
Jirani na APPY NOW kuna disclaimer kuhusu kilichokutokea. Ulifaa kuwataarifu ZOOM maana na namba wameweka. Sio kuja kulialia JF.
Humu acha tumnange BASHITE na baba mlezi wake hadi kieleweke.
Mkuu umeongea kitu cha maana sana lakini pengine ni wachache watakaokuelewa. Ukosefu wa ajira plus ukosefu wa integrity miongoni mwa wanaotafuta kazi uwafaidisha matapeli mitandaoni. Kwa mtu mwadilifu na makini hawezi kutapeliwa huko Zoom Tanzania. Sawa unaweza ukakosa integrity lakini umakini je? Yaani utume hela kwa mtu usiyemjua eti akuunganishie upate kazi?Mkuu shauri namna ya kudhibiti na nyie ni jukumu lenu kutoa awareness kwa wadogo zenu wasiwe wepesi wa kuamini kwenye mdebwedo, " integrity" ikizingatiwa hakuna mtuma maombi atakayetuma M-pesa kulobby na ghost.
Kumbuka hao matapeli wanasajili kampuni mpaka Brela.
matapeli ni wengi kwenye hizi web na app.ila nenda linked in hapa ndipo watu wanajielewaWakuu habari za muda huu? Natumaini mmeshinda salama.
Niende moja kwa moja kwa nilichotaka kuzungumze japo kwa ufupi.
Mimi ni kijana niliyekuwa nikihangaika kutafuta fursa mbalimbali za kujiajiri au kuajiriwa sasa kwa bahati nzuri au mbaya nikakutana na rafiki yangu mmoja wa karibu ambaye huwa tunashauriana mambo mengi ndipo akanishauri niwe napitia pitia kwenye website ya Zoom Tanzania.Nilifanya hivyo mara kadhaa pindi nilipoona kuna nafasi inatangazwa inayohusiana na taaluma yangu yani Civil Engineering au taaluma zinazohusiana na hiyo.Sasa zaidi ya mara tano nimetuma maombi sambamba na kutuma CV yangu kwenye kampuni tafauti kilichokua kinatokea kila nikituma maombi haitapita wiki moja kuna mtu atatokea na kujitambulisha Nanukuu:
Mimi ni Mr fulani (majina na namba zao ninazo nayahifadhi) wataanza kwa kusema tupo tunapitia CV yako na ni nzuri sana, nataka nikusaidie upate kazi hii kwa masharti yafuatayo: mshahara 1.3m take home utanipa laki 3 kwenye mshahara wako wa kwanza ila tuma elfu 20 tigopesa kwenye hii namba kabla ya saa 10 leo jioni nitakupigia nikitoka kikaoni.
Ikabidi nimuulize jamaa yangu kuhusiana na hiyo ishu akasema ni kweli kuna matapeli mule ila aliwasiliana na mmoja wa ma IT wa Zoom Tanzania akasema hakuna matapeli wewe uwe unatuma tu maombi.
Kama kuna yeyote ameshakutana na kitu kama hiki ebu na yeye atoe neno maana mimi wananikera sana hawa jamaa.
Maombi yangu:
Sina lengo baya la kuchafua brand yenu ila huu ujinga umenichosha sasa na kunichefua sana.
Kama kweli mpo makini na huduma zenu nyinyi zoom tanzania ebu tokomezeni huu upuuzi ambao sio tu mimi bali wapo rafiki zangu wa karibu wamesema zoom tanzania ni matapeli na hawawezi kuingia tena hivyo vyombo husika ichunguze huu mtandao maana wenyewe wananufaika kwa watu kuingia uku wengine wanatapeliwa kwa ujinga huu.
Huu ni uzembe wa kiwango cha Masters degreeMuulize jamaa mmoja anaitwa Askari Muoga...
Alishapigwa sana hela na matapeli wa Zoomtanzania.
Atakupa ushuhuda wote. Kapigwa zaidi ya mara nne.
Mkuu elezea ulisurubiwa vipiKosa la zoom sijaliona hapo,nimeshauza magari mawili zoom,na wateja wamefurahia sana.
Mitandao ya kijamii unatakiwa uwe mwangalifu sana,humu Jf nilishawahi kusulubiwa na member mmoja.Japo for the time being atakuwa ana hali ngumu kwa sasa.
Dawa yao ndogo mkuu kama wanatuma text waambie muonane ili uwapatie hizo pesa kama wanavyotaka au mjadili makubaliano. Waambie huwezi kutuma pesa kwanza bila kuonana uso kwa uso. Wakikubali waarifu polisi kitengo cha Cyber Crime muwawekee mtego wakamatwe. Sasa hivi bongo si namba za simu zinasajiliwa kuwakamata ni rahisi tu. Wanaudhi sana kwa kuwa-scam watu hela za tabu.Mkuu mara nyingi wanatuma text kama nilivyoeleza juu pale kuna sehemu nikasema majina na namba nimehifadhi (wasiniteke lakini maana mimi ni kijana nahangaika kama wao sasa wasitutapeli na sisi walala hoi tunaotafuta pa kujishikiza
This is not a fully dedicated job website where they can verify agencies or companies manually. It is just a simple basic classified website, and most of these ads are posted for FREE. They can only verify only emails addresses which would not help in this case. I don't think Zoom Tanzania will be able to verify all posts as they might be hundreds of them. However, they could improve their service by alerting its users of potential scammers currently I don't they are doing that.A good company will verify the sources.
Wakuu habari za muda huu? Natumaini mmeshinda salama.
Niende moja kwa moja kwa nilichotaka kuzungumze japo kwa ufupi.
Mimi ni kijana niliyekuwa nikihangaika kutafuta fursa mbalimbali za kujiajiri au kuajiriwa sasa kwa bahati nzuri au mbaya nikakutana na rafiki yangu mmoja wa karibu ambaye huwa tunashauriana mambo mengi ndipo akanishauri niwe napitia pitia kwenye website ya Zoom Tanzania.Nilifanya hivyo mara kadhaa pindi nilipoona kuna nafasi inatangazwa inayohusiana na taaluma yangu yani Civil Engineering au taaluma zinazohusiana na hiyo.Sasa zaidi ya mara tano nimetuma maombi sambamba na kutuma CV yangu kwenye kampuni tafauti kilichokua kinatokea kila nikituma maombi haitapita wiki moja kuna mtu atatokea na kujitambulisha Nanukuu:
Mimi ni Mr fulani (majina na namba zao ninazo nayahifadhi) wataanza kwa kusema tupo tunapitia CV yako na ni nzuri sana, nataka nikusaidie upate kazi hii kwa masharti yafuatayo: mshahara 1.3m take home utanipa laki 3 kwenye mshahara wako wa kwanza ila tuma elfu 20 tigopesa kwenye hii namba kabla ya saa 10 leo jioni nitakupigia nikitoka kikaoni.
Ikabidi nimuulize jamaa yangu kuhusiana na hiyo ishu akasema ni kweli kuna matapeli mule ila aliwasiliana na mmoja wa ma IT wa Zoom Tanzania akasema hakuna matapeli wewe uwe unatuma tu maombi.
Kama kuna yeyote ameshakutana na kitu kama hiki ebu na yeye atoe neno maana mimi wananikera sana hawa jamaa.
Maombi yangu:
Sina lengo baya la kuchafua brand yenu ila huu ujinga umenichosha sasa na kunichefua sana.
Kama kweli mpo makini na huduma zenu nyinyi zoom tanzania ebu tokomezeni huu upuuzi ambao sio tu mimi bali wapo rafiki zangu wa karibu wamesema zoom tanzania ni matapeli na hawawezi kuingia tena hivyo vyombo husika ichunguze huu mtandao maana wenyewe wananufaika kwa watu kuingia uku wengine wanatapeliwa kwa ujinga huu.
Waliokutapeli ni Zoom?Mkuu mara nyingi wanatuma text kama nilivyoeleza juu pale kuna sehemu nikasema majina na namba nimehifadhi (wasiniteke lakini maana mimi ni kijana nahangaika kama wao sasa wasitutapeli na sisi walala hoi tunaotafuta pa kujishikiza
Umeambiwa utume maombi, wewe unafunga safari kwenda. Hata kama ni mimi nitakwambia sijatangaza ya namna hiyo. Hizo za hivyo nenda DodomaZoom by itself is not safe..wahuni wakutupwa hawa, sometimes yanatangaza kazi kampuni flan ila hio kampuni ukienda wanakwambia hawajatangaza hizo kazi
Ndio maana hapa nikasema kuna opportunities. Zoomtanzania and the likes are just a joke tu, Hapa pana opportunity, just imagine you have a website, ambayo unapost what is verified only, hata big companies will use your website to post confidently na hata kama kuna buyer atakuwa ana buy kitu confidently, ingawa inahitaji time and carefull planning kwenye hili, lakini i believe its worth!This is not a fully dedicated job website where they can verify agencies or companies manually. It is just a simple basic classified website, and most of these ads are posted for FREE. They can only verify only emails addresses which would not help in this case. I don't think Zoom Tanzania will be able to verify all posts as they might be hundreds of them. However, they could improve their service by alerting its users of potential scammers currently I don't they are doing that.