funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 38,535
- 31,199
naamini wengi wetu tumeangalia mechi ya leo kati ya kili stars vs uganda cranes.mechi ilikuwa nzuri na timu yetu ya taifa ilipigana kufa na kupona lakini walizidiwa kimchezo.kitu cha kusikitisha mashabiki wetu hawakuonyesha uzalendo hata kidogo.walikuwa wanazomea kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa mchezo.
swali la kujiuliza je ni kipi kimewasibu mashabiki hawa?
Tafsiri yangu:kwa ujumla wananchi hawaridhishwi na mwenendo wa mambo nchini kama,ubinafsi,ufisadi na dharau za viongozi kwa wananchi.
swali la kujiuliza je ni kipi kimewasibu mashabiki hawa?
Tafsiri yangu:kwa ujumla wananchi hawaridhishwi na mwenendo wa mambo nchini kama,ubinafsi,ufisadi na dharau za viongozi kwa wananchi.