Zomba nakutafutia DDT.

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Wewe zomba wakati mwingi unaniudhi na kunikera sana. Bado una mawazo ya tanu. Eti System at Work. Sasa, ingawa dawa ya DDT (dichlorodiphenyltrichloroethane) ilipigwa marufuku kutumika mimi ninaitafuta nikupulizie hadi ushindwe na ulegee. Dawa yako iko kikaangoni!!!
 

he!...kwa nini uwe muuaji hivyo....si umpotezee tuu....khaaaa
 
leteni submission zenu kwangu ntatoa uamuzi.(muanze na charge sheet) sijajua mtafungua kesi ya namna ghani madai,jinai nk
 
Kwakuwa zomba avatar yake ni hii
Ndiyo maana anasema lazima ampulizie DDT hana maana ya kumuua kama sijakosea kumuelewa!

sasa kama akipuliziwa hafi.....anakuwaje?
 
Kwakuwa zomba avatar yake ni hii
Ndiyo maana anasema lazima ampulizie DDT hana maana ya kumuua kama sijakosea kumuelewa!

Huyu mdudu kweli dawa yake DDT rungu haifui dafu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…