Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Nimeangalia lile zoezi na kwa upeo wangu nikaona kama la kawaida. Au ndio yale ukiwa nje ya uwanja.
Kubwa nililoona pale ni kuwa wakati helkopta iko pale juu ikishusha waokoaji, sikuona wengine wakiwa na silaha mle ndani kwa lengo la kuangaza nacho pande zote na kwa mbali kujiepusha na adui.
Kwa mfano adui angekuwa mbali kama mita mia hamsini hivi na akaamua kurusha kombora ingekuwaje?

kwingne nliona chenga tu.