Zoezi la Sensa likiharibika nani alaumiwe Serikalia au Wanaohesabu?

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
49,028
54,321
Nchi imebakiza muda mfupi kuingia kwenye zoezi ghari kuliko yote hapa nchini, kuna mambo yanajitokeza hasa upande wa malipo.

RAIS,MAKAMU WA RAIS,WAZIRI MKUU kwanini wasitoe tamko kuhusu namna malalamiko yanavyokuwa ili zoezi liwe zuri. Haya malalamiko kweli hayasikiki,mbona zoezi la kuwalipa makarani wa sensa lina mizengwe?
 
Bil141,ipo tayari inakuaje kuna mizengwe kwye ulipaji? Au ndio wameweka fixed account ya miezi mitatu ili wale cha juu?
 
Bil141,ipo tayari inakuaje kuna mizengwe kwye ulipaji? Au ndio wameweka fixed account ya miezi mitatu ili wale cha juu?

Nadhani kuna chajuu ili zoezi likiisha watu wanufaike nchi nzima wanalalama,nimewasikia ma dc wa tabora wanasema lzm watu wenye moyo wa uzalendo ndiyo wanatakiwa. Uzalendo hata malipo ngoja tusubiri matokeo ya sensa tuone.
 
Back
Top Bottom