johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,191
- 144,238
Kwani ilikuwaje hata hilo likatokea? Isijekuwa anasema ndege haiwezi kuruka umbali unaotakiwa kwa mafuta iliyonayo ila wale wa si hasi wanamtaka aruke hivyo hivyo.Mpuuzi sana huyu ruban
Nilimsikia Waziri anasema kuna umilki wa pamoja (sasa sijui kwenye hiyo ya FAO au hiyo iliyoachwa na huyo rubani, kama kuna namna ya ku-share cost kwa ajili ya majanga mbalimbali)Hivi sisi hatunaga ndege hizo
Mbona mara nyingi tz tunapenda
Kukodisha ndege ama helukopta
Kutoka kenya
Ova
Umeandika nini sasa weweeNi jambo jema, maana chakula ni uhai.
Hata mimi ningeondokaUsikute wamemwandikia posho kama mtumishi wa halmashauri ya tsh 30,000/day