Mlinzi Shujaa_
Member
- Mar 30, 2020
- 61
- 103
Kama ndio unaanza anza na kumi, bada ya wiki. Nenda 20 kila wiki ongeza hadi utapokuwa nauwezo wa kupiga nyingi bila kuchoka hapo utakua umeimlruvu.Unafanya kwa dk ngapi mkuu... au unajipump mara ngapi?
Kwa kuanza, ilo week la kwanza, kwa siku ngapi na mara ngapi?Kama ndio unaanza anza na kumi, bada ya wiki. Nenda 20 kila wiki ongeza hadi utapokuwa nauwezo wa kupiga nyingi bila kuchoka hapo utakua umeimlruvu.
Piga hizo alafu kaa plank kama dk 3 hiviKama ndio unaanza anza na kumi, bada ya wiki. Nenda 20 kila wiki ongeza hadi utapokuwa nauwezo wa kupiga nyingi bila kuchoka hapo utakua umeimlruvu.
Ndio mkuuMuhimu sana hili
Kwa siku, asubuhi 10 jioni 10, siku ya pili hivyoivyo siku ya 7 ongeza 10 ziwe 20 endelea hivyo mpaka utaweza kupiga sit ups 500 - 1000 nakuendelea hapo tumbo litakua imara kama ukutaKwa kuanza, ilo week la kwanza, kwa siku ngapi na mara ngapi?
Shukrani mastaKwa siku, asubuhi 10 jioni 10, siku ya pili hivyoivyo siku ya 7 ongeza 10 ziwe 20 endelea hivyo mpaka utaweza kupiga sit ups 500 - 1000 nakuendelea hapo tumbo litakua imara kama ukuta
Sawa sawaKama ndio unaanza anza na kumi, bada ya wiki. Nenda 20 kila wiki ongeza hadi utapokuwa nauwezo wa kupiga nyingi bila kuchoka hapo utakua umeimlruvu.
Vitambi ni ugonjwa mkuu lazima wavitoe ili wabaki salamaWatu wanapenda vitambi weqe unaeashauri watoe