Zoezi la kijiandikisha kwa BVR Dar.

Zoezi la kijiandikisha kwa BVR Dar.

kabekes

New Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Zoezi la kujiandisha kupiga kura kwa mfumo wa BVR Dar es Salaam huenda likakumbwa na dosari za hapa na pale kutokana na watendaji wa mitaa husika kucheza rafu hasa kwenye mchakato wa kuwapata waandikishaji na kit operator.
Mfano manispaa ya Ilala waliwafanyisha watu mitihani ya ufahamu kisha kutoa majina kwenye blog yao www.habariilala.blogspot.com,kisha wakawataka waliofuzu kwenda kuripoti kwenye kata husika,wapo waloenda kuripoti mwanzoni kisha kuregister majina yao kwa watendaji husika.
Mchezo wenyewe uko hapa,hao watendaji/wenyeviti wa mitaa wana watu wao tayari ambao ni mamluki na hata mitihani hawakufanya,so wewe ulopangiwa ukienda hapo unaambiwa umechelewa kuripoti na nafasi yako ishachukuliwa but in actual fact ulisharipoti.
Binafsi haona tatizo hapo na inaweza kuchangia kuvuruga tatizo kwani watakaokuwa wakituandisha hawana vigezo.
 
Back
Top Bottom