Zoezi la bomoa bomoa lafika Mbezi Beach

Nyumba ya ghorofa ya Pepe kalle mbona ipo kwenye kitalu ambacho kina plot number that means kimepimwa,iweje waibomoe au alimsupport mzee wa monduli?
 
Hiyo bomoa bomoa juzi ilikuwa TEGETA mivumon karibu na kisanga.majumba yote yaliyovunjwa in wale waliojenga maeneo ya wazi na hifadhi za barabara.safi sana
 
tusiwe washabiki na hii kasi naona kuna pia kukurupuka flan na hili jambo ningependa tusishabikie vitendo vya uvunjifu wa sheria kwa sababu ya kuaminishana slogan ya hapa kazi tu kama nyumba ina kesi mahakaman nadhan serikali ilitakiwa ipush mahakama itoe hukumu haraka badala ya manispaa kupeleka tinga tinga la kuvunja
 
Ndio kimepimwa ila sio chake, ni eneo la wazi

Okay nimekupata Ila serikali iangalie namna ya kuhandle Hizo issue sasa Hiyo open space wataweka garden baada ya kubomoa ghorofa? si Bora wangemuuzia tu hata kwa 200m then Hiyo fedha ikaboreshe hata vyoo kwa baadhi ya shule za serikali.
 
Maeneo ya wazi ni muhimu, mji lazima upate pa kupumulia. Huku uswahilini tuna shida sana kwa vile hakuna upepo kupita, ni joto hata wakati wa baridi. Ukiruhusu wenye pesa wajenge maeneo ya wazi halafu baadaye unawambia watoe hela ili waachiwe hilo eneo, hakika nakwambia utaamuka asubuhi unakuta ghorofa limesimama katikati ya uwanja wa taifa. Kuna watu pesa sio tatizo.
 
Sasa mtu umejenga kwenye eneo la wazi au penye hifadhi ya barabara halafu unaenda mahakamani .
 
Okay nimekupata Ila serikali iangalie namna ya kuhandle Hizo issue sasa Hiyo open space wataweka garden baada ya kubomoa ghorofa? si Bora wangemuuzia tu hata kwa 200m then Hiyo fedha ikaboreshe hata vyoo kwa baadhi ya shule za serikali.

Hujajua faida ya open space,changamsha kichwa chako
 
Manispaa ya Singida wafanyabiashara wameongeza baraza hadi barabarani. mkurugenzi lini utanyoosha barabara?

Msubirin maguful maaana mlimpa kura zakutosha otherwise endeleen kuisoma no
 
Hapa tunachanganya kati ya kupima kiwanja na uhalali wake.
Ukinunua Kiwanja nenda manispaa uhakiki na uihakikia hati miliki yako.

Wengi wamejenga kiujanja,na wengine wa na hati za matumizi tofauti na makazi.
We kuna mtu aliomba hati ya kujenga mgahawa wa muda then akajenga nyumba,hii akili kweli.

Kwa ufupi ujanja mwingi saaana kwenye majumba hayo.
 
Back
Top Bottom