Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 22,791
- 50,978
Ana uwezo wa kawaida mno na hana tofauti na Olivier Giroud sema tu kwasasa anazungumzwa sana kwa kuwa yupo timu ya wapayukaji duniani, jiulizeni kwanini alichemsha vibaya akiwa Barcelona? Akaenda kung'aa kwenye ligi ya Ufaransa ambayo ni sawa na ligi ya timu moja au ligi ya mchangani. kwa kifupi zlatan anapewa sifa zisizostahili.