Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,334
- 15,038
Nimekuwa nikisoma Historia ya jiji letu la Dar, naona kwamba kuna Ziwa Mwananyamala lililoko Mwananyamala, sasa nashangaa kwa maana katika maisha yangu yote sijawahi kusikia kwamba Mwananyamala kuna Ziwa!
Je kuna mtu anafahamu juu ya hili, au kuna ambaye ameshawahi kuona Ziwa Mwananyamala kwa wanaoishi huko? na liko Mwananyamala sehemu gani?
Je kuna mtu anafahamu juu ya hili, au kuna ambaye ameshawahi kuona Ziwa Mwananyamala kwa wanaoishi huko? na liko Mwananyamala sehemu gani?