Ziwa Duluti, Arusha

Kweli Watanzania tumeishiwa na Fikra na mawazo ya busara, hivi kweli Mtanzania anatakiwa alipe shillingi elfu mbili (2000) kuangalia Ziwa, ni. Sawa na kumwambia Mtanzania alipe elfu mbili(2000) kwa kusimama Ferry na kuangalia Bahari..
Aisee... ipo kwenye hifadhi za misitu...

Kiingilio kinaipa thamani sehemu
 
Muda bado, muda ukifika vyote hivyo utaviona na kivishika physically, pako powa sana hapo ila inabidi uweze kuendesha mtumbwi

Duh...kunakupga makasia??ahaha hiyo sitaweza.alafu mbona una historia mbofu mbofu..ah tughairi tu .yaan bila kuogelea??
 
Ilikuwa 2008 siku ya jumamosi, wamesema tusiende na nguo a shule tukawatupia nguo zao, tukafika changbay tukarudishwa na polisi ....mbona mi nshakujua we hujanijua tu
Mimi au uyo Madame S? Mimi 2008 nilikuwa darasa la nne
 
Hamna, unataka uwaone?
hapana... nawachukia sana jamaa yangu mmoja tulikuwa tunaogelea aisee mamba akamkamata, walimshambulia kama mamba watatu hivi hata dakika mbili nyingi tukabakia kuona damu tu. Mamba ni mnyama muuaji sana aisee. yule mshikaji tulizika nguo zake maana hakubaki chochote.
 
Unanikumbusha jamaa mmoja wa bandari DSM alikunywa maji mto rufiji kabla ya kujengwa daraja. Asubuhi wakati tunangoja kivuko alijitia mwamba kwa kuwa anaogelea baharini akajaribu ya rufiji alizama na kuibuka mara tatu alipoikolewa hakushuka tena ndani ya gari alivuka akiwa ndani ya basi
Alipaona padogo kama beseni unachezea confidence [emoji482] [emoji482]
 
Ilikuwa 2008 siku ya jumamosi, wamesema tusiende na nguo a shule tukawatupia nguo zao, tukafika changbay tukarudishwa na polisi ....mbona mi nshakujua we hujanijua tu
hahaha natamani kukufaham loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…