Mapinduzi hayasongi kwa chadema bila zitto mpaka sasa hivi hajamsupport slaa
Kwanini anajitenga?
Zitto hana msimamo, uyu mtu anapaswa kuogopwa kama ukoma, hafai ktk ulingo wa siasa
Tuko pamoja mkuu, Zitto hasuburi kubebwa na chama mwenyewe anajiweza na anakibeba chama,ni wanasiasa wachache sana wenye kufanya jitihada binafsi kwa manufaa ya chama. HUYU NDIE RAISI WETU KUPITIA CHADEMA 2015.Kijana anaweza.
Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015
inazidi kummaliza Dr slaa
Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto
kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa
Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi
Nimekupiga dole jekundu la kichadema...nimempiga dole la juu huyo
Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015
inazidi kummaliza Dr slaa
Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto
kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa
Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi
Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015
inazidi kummaliza Dr slaa
Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto
kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa
Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi
Ubora wa huja hutazamwa kwa vitu vingi: Mpangilio wa sentensi, silabi nk. Ngoja wana JF waseme!
MS waja kivingine, hongera sana.
1.Soma Katiba kuhusu suala hili, liko wazi. Au unataka tulazimishane na utaratibu wa kwamba ukishaonja miaka 5, lazima upate na mingine 5.Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015
inazidi kummaliza Dr slaa
Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto
kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa
Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi
Kauli ya ZITTO kabwe kuwa anataka kugombea Urais 2015 inazidi kummaliza Dr slaa
Mpaka sasa Dr Slaa ajatamka lolote kwanini ZITTO alisema hivyo pia Zitto kabwe hajajitokeza kumsupport DR SLaa katika Majukwaa
Inaonekana Dr slaa amelemewa wapambe wake wote hoi
Mbona mnakwepa Hoja??