Mulungwani
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 456
- 84
Zitto ameyafanya mengi na sauti yake imesikika sana juu ya wanyonge zaidi ya wakina Mbowe na Slaa wapiga kelele kwenye majukwaa,Hachana na Zitto anauwezo.
Mkuu mama wa Zitto Yuko ICU anasumbuliwa na cancer.Msikimbilie kutuhumu tu.Jaman zito kasha filisika, kiakili, kisula, mwenendo,Kiroho roho! ndo maana humusiki mkulu.
Mkuu mama wa Zitto Yuko ICU anasumbuliwa na cancer.Msikimbilie kutuhumu tu.Yaani hapa JF ndo kabisaaa hataki hata kupasikia!!!! Alikuwa anajikakamua kidogo wakati hajatu-esikarioti, lakini tangu ajifanye Yuda na JF kuna data zake watu hawampi nafasi, kapotea jumla ndo hivo tena na Bungeni anaona aibu hata ya kusimama!!
Yangu macho.......
Jibu swali, Zitto yuko wapi?
Zitto ameyafanya mengi na sauti yake imesikika sana juu ya wanyonge zaidi ya wakina Mbowe na Slaa wapiga kelele kwenye majukwaa,Hachana na Zitto anauwezo.
Walidhani Pengo la Zitto linaweza kujazwa na akina Godbless J Lema
Mkuu mama wa Zitto Yuko ICU anasumbuliwa na cancer.Msikimbilie kutuhumu tu.
Bila kutaja zt hamuoni kama hamjisikii vizuri uliza baba yenu mbowe kafanya nn bungeni
Zitto ni Shetani/Ibilisi. Na hivyo lazima akemewe! Shetani hupaswa kukemewa kila wakati, kwani huleta madhara asipokemewa! Kwa hiyo uelewe kuwa kila unapokemea shetani basi unamkemea Zitto pia. Kama unampenda Zitto, usikemee shetani, maana wewe ni mfuasi wako!
we pimbi, unaangalia neno moja au unasoma sentensi nzima ina maana ipi?
Mkuu mama wa Zitto Yuko ICU anasumbuliwa na cancer.Msikimbilie kutuhumu tu.
Teh teh....Dengue imeshakuharibu ubongo mkuu:der:Zito karibu JF ulipotea sana..