kazi kwelikweli!!!!huyo waziri ndo anauliza hilo swali!!!hana tofauti na vibalaka wa nyinyiem waliomo hum jf.yawezakuwa huwa wanakutana kutafuta maswali ya kitoto.balaaKweli tunakoelekea siyo, kingozi anapo acha kujibu hoja za maana anaanza mambo ya chadema ya ukanda,Zito kauliza katika muungano wa Zanziba na TZ sijawahi kusikia mkuu wa majeshi ametoka Zanzibar,kambiwa tunajiandaa lakini hata mimi sijawahi kusikia Mwenyekiti wa Chadema ametokea Kigoma.CDM kazi mnayo.
zitto nae kauliza swali gani hlo,mbona nae anaanza kuwa na akili ka za mwenyekiti wa chama chake?
Nadhani anamaanisha Kigoma ni sawa tu na Zanzibar i.e ni mkoa!
Kweli tunakoelekea siyo, kingozi anapo acha kujibu hoja za maana anaanza mambo ya chadema ya ukanda,Zito kauliza katika muungano wa Zanziba na TZ sijawahi kusikia mkuu wa majeshi ametoka Zanzibar,kambiwa tunajiandaa lakini hata mimi sijawahi kusikia Mwenyekiti wa Chadema ametokea Kigoma.CDM kazi mnayo.