Kwani maweni ni Hospitali ya jimbo au hopt ya Rufaa mkoa?Unaoishi kigoma ndo tunaujua umuhimu Zitto.
Kwi kwi kwi kwi ahadi walizotoa pesa za mfuko wa majimbo.
Wanasema matatizo yataisha lini?
Acha unafiki kawaulize wakulima wa kahawa, watu hamna jema hata kama hakuna tangible alizo acha hata goodwill huzioni ukienda mikoani ukasema unatoka kigoma unaulizwa kwakina zitto? watu wengi wa kigoma mmeanza kujitaja kuwa ni wa kigoma baada ya zzk kupata umaarufu wengine mlikuwa mmeshapakana kgm muwe wakweli kuheat kwa zzk kumesababisha wakazi wengi wa kg kuanza hata kuchenga nyumba walizo zitelekeza zzk kaleta unification utakataa kwa sababu ya ubongo wako kuwa mfinyu wa kufikili lakini ukweli utabakia palepale kwamba mkiacha kumchagua zzk mtakuwa mmejidharau wenyewe.
Yupo na wale wanaoigiza, kwa kimombo tunasema wale wanao act!Kwani Zitto bado yupo kwenye siasa ya hapa Tanzania?
Pia kawa mwanakigoma wa kwanza kuwa a.ya..tol.a.h...komeni!manu
leka tutugite sijui leka nini sio maendeleo.....kuwaanzishia chama cha ACT je....si maendeleo hayo..!
Treni ya kisasa huioni? Kigoma sasa hivi kuna maendeleo kupita Moshi Kilimanjaro
haaa haaah haahPia kawa mwanakigoma wa kwanza kuwa a.ya..tol.a.h...komeni!
Mmemchoka Mwami Kabwe, mbona naskia kuna High School mbili anawaachia na Ambulance juu.
hivi Ritz unajua kuna upunguani wa aina mbili, wa akili au ujinga, huyu jamaa naona kama punguani wa ujinga ila wewe punguani wa akili...shikamo bosi wa lumumbaWewe punguani kweli hii nayo ni hoja?