Zitto: Tumemtoa Mghwira ili kuondoa dhana kwamba ACT ni "CCM B", asema utaratibu ufatwe kwenye teuzi

Hicho anachosema hakisaidii, swali ni kuwa Tanzania kuna vyama vingi vya upinzani kwa nini Magufuli arudi mara mbili kuchukua wateule wake kwenye chama kimoja tu cha upinzani?Kwa hiyo hilo ni tawi la CCM.
Kwani wapi pameandikwa achague kila chama?
Siyo mbaya umehoji kulingana na upeo wako.
 
lkn kwa nn magufuri amchague huyu mama jmn........na chama chake wamelichukuliaje hili.
 
Back
Top Bottom