Zitto: Tumekataa kuwa mateka

Mtumishi kamili wa mitaa ya St Peter yupo kazini katika kuwagawa ndugu zangu Wazanzibar ili wazidi kutawaliwa na Tanganyika na amefanikiwa kwa Asilimia 100...
 
Naona wanapoteza muda mwingi ktk kikosi kazi.
Lakini yy anaona aikomoa Chadema kumbe ni kujionyesha alivyo pamoja kushiriki ktk dhambi wanazopitia Watanzania .
Kikuwa kinachomsumbua ni tamaa na kupenda kukaa karibu na Wakubwa yaani ni dhaifu
 
Mbona Zitto nyie bado ni matekaau hujitambui,na mmetangaza kusimamisha mgomea wa Binge la Afrika mashariki.
 
Zitto Ni Nyoka
 

Zito pamoja na kwamba ni mnafiki lakini hilo la kuuwawa kwa watu tumeliona kwa macho yetu. Au mnadhani kwakuwa mlidhibiti vyombo vya habari basi ukweli hatuujui? Hakuna uchaguzi uliokuwa wa kihayawani kama wa 2020.
 
Zito pamoja na kwamba ni mnafiki lakini hilo la kuuwawa kwa watu tumeliona kwa macho yetu..
Swali la msingi ni kwamba baada ya 2020, kuna mahali ACT-Wazalendo waliwahi kusema wanachama wake 20 waliuawa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020.

Anaposema kuwa hawataki kuwa mateka na uchaguzi wa mwaka 2020 si wanamaanisha kuwa hawataki kutekwa
na kumbukumbu iliyosababisha watu wao kuuawa!? Wao hawasikitiki watu wao kuuawa!1?
 
Ni kweli Past ilikuwa ngumu sana...

But why dwell in the past, as if the present is all right ?!!

One might not stop thinking maybe, just maybe kuna ulambaji wa Asali....
 
One might not stop thinking maybe, just maybe kuna ulambaji wa Asali....
Tongue that sweetened by honey licking will make honey lickers to adopt the situation, thus the habit formed. The trap is on...
 
Zito pamoja na kwamba ni mnafiki lakini hilo la kuuwawa kwa watu tumeliona kwa macho yetu. Au mnadhani kwakuwa mlidhibiti vyombo vya habari basi ukweli hatuujui? Hakuna uchaguzi uliokuwa wa kihayawani kama wa 2020.
Wakati kikwete ana ua watz kwa kipindupindu na dawa feki mbona mna nyamaza kimya ...watz 2680 walikuwa wanakufa kwa kipindupindu kila mwaka kabla ya JPM.. sasa hao 20 ni muhimu kuliko 2680 na sasa hivi SA100 karudisha kipindupindu watu wanakufa serikali inaficha kutangaza kwa kuona aibu ...wakifa mafisadi na wasaliti mnapiga kelele ila wakifa masikini na wazalendo mnachekelea ....wamasai wanachinjwa kule loliondo na muarabu kwa kupitia ccm ya sa100 mbona wapo kimya ...zitto ni kinyesii kabisa
 
"tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi."
Mkuu ACT Wazalendo unamaanisha nini unaposema Watanzania na Wanzanzibari?
 
ACT Wazalendo

Okay the Past was Bad !!!!, Ila is everything Okay Now !!!

Naona kama mmeridhika wala hakuna mpingaji kana kwamba kila kitu kinaenda murua..., na kama kila kitu kipo sawa si tuache kupoteza pesa za ruzuku na uendeshaji wa Chama tuwe na Chama Kimoja tu...., Sidhani kama CCM wanahitaji Ma-Cheerleaders bali wanahitaji watu wenye mtizamo tofauti kwa ajili ya kuwapinga na kuwasahihisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…