ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 643
- 1,603
Uchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote.
WahaHivi kuna binafamu bado wanamsikuliza zitto
USSR
Tawi la CCM mtajenga lolote kweli? Nyie si SUK unajinasuaje na CCMUchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote kwani licha ya vipigo kwa Viongozi na Wanachama wetu, tulipoteza Wanachama zaidi ya 20 waliouwawa. Lakini tumekataa kushikwa mateka na 2020. Tumeamua kujenga chama madhubuti.
Tumeamua kuongoza mageuzi ya Msingi ili kila Mtanzania apate heshima ya kura yake kwa kumpata kiongozi aliyemchagua katika Kijiji/Mtaa wake, Kata yake, Jimbo lake na Nchi yake. Tumeamua kuimarisha chama kitaasisi ili kukabiliana vilivyo na 2024/2025 na kuzuia yaliyotokea 2020.
Tumeamua kutibu ya 2020 kwa kutazama mbele kwa lengo la kuwa na Tanzania na Zanzibar bora zaidi. Tunayafanya Haya kwa vitendo na tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi.
Kiongozi wa ACT-Wazalendo
Zitto KabweView attachment 2347285View attachment 2347287View attachment 2347288View attachment 2347286View attachment 2347289View attachment 2347292
UmelogwaWaha
Hakuna , malofa akina AbdulHivi kuna binafamu bado wanamsikuliza zitto
USSR
Wapo na mimi ni mmojawapo ila wale walioambiwa wakapumzike pamoja na yule mzee wa Chato hawamtaki kabisaaaa.Hivi kuna binafamu bado wanamsikuliza zitto
USSR
Kama ulivyosoma na kucomment hapo hapo basi we si binadamu tena.Hivi kuna binafamu bado wanamsikuliza zitto
USSR
🤣🤣🤣Wapo na mimi ni mmojawapo ila wale walioambiwa wakapumzike pamoja na yule mzee wa Chato hawamtaki kabisaaaa.
Usijilinganisha na ZittoZitto kama Zitto.
Asali imeanza kuisha utam?..Aongezewe sega moja huyu.
Yaani huyu mpuuzi mwenye mapere usoni mpumbavu sana! Tulikuwepo wote nchini 2020 anaweza kutueleza watu 20 waliouawa ni wapi? Tundu Lisu alikuja kujitegesha akamatwe lakini alifanya kampeni bila vurugu kutokea! Zitto badala ya kuwatetea wananchi analeta propaganda sake mtu! Yaani nchi ikiongozwa na muislam hutamsikia huyu pimbi anapiga kelele!Watu 20 wamekosa haki ya kuishi mbona hatukusikia kesi ya mauaji.kwa hiyo uraisi wa mwinyi una damu lita ngapi??
Mwishowe mlipata nusu mkate kule Zenji na huku bara asali mmelambishwa.Uchaguzi wa 2020 ulituumiza na kutuachia majeraha makubwa. Chama chetu kiliumia zaidi kuliko vyama vyote kwani licha ya vipigo kwa Viongozi na Wanachama wetu, tulipoteza Wanachama zaidi ya 20 waliouwawa. Lakini tumekataa kushikwa mateka na 2020. Tumeamua kujenga chama madhubuti.
Tumeamua kuongoza mageuzi ya Msingi ili kila Mtanzania apate heshima ya kura yake kwa kumpata kiongozi aliyemchagua katika Kijiji/Mtaa wake, Kata yake, Jimbo lake na Nchi yake. Tumeamua kuimarisha chama kitaasisi ili kukabiliana vilivyo na 2024/2025 na kuzuia yaliyotokea 2020.
Tumeamua kutibu ya 2020 kwa kutazama mbele kwa lengo la kuwa na Tanzania na Zanzibar bora zaidi. Tunayafanya Haya kwa vitendo na tunawapa Watanzania na Wazanzibari ahadi yetu ya kujenga Taifa bora zaidi.
Kiongozi wa ACT-Wazalendo
Zitto KabweView attachment 2347285View attachment 2347287View attachment 2347288View attachment 2347286View attachment 2347289
Wapo tena wengi sana,lakini mimi si mmoja wapo labda johnthebaptist anamsikiliza sana sijui kapewa ahadi gani ?.Hivi kuna binafamu bado wanamsikuliza zitto
USSR