JAKOBO
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 934
- 194
Mijitu mingine tabu tupu, sasa ulitaka aseme yapi? Aliyofanya kwa pesa zake au? Haya katoa ambulance mbili kama Mbowe, au na hilo ni marekani wametoa
Unaweza kukuta eti nawewe una families,hivi sihuyu ayatollahs aliyesema hatagombea Ubunge kigoma anataka Urais?.Kwahiyo ndio anakuja Kigoma kugombea Urais?.eti kaleta maendeleo Kigoma'yapi.Na Kafulila je?.Siwezi kumwamini wala kumsikiliza tena Zitto kwa sababu najitambua, msikilizeni nyie wanywa kahawa za shs hamsini