Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Zitto nimemnukuu ktk gazeti LA mwananchi akisema ametatua shida zote za wanakigoma kaskazini.mi nashauri kama ametatua shida zote za wanakigoma kaskazini,basi tume ilifute jimbo ilo la uchaguz ili kuokoa pesa na gharama ya mshahara Wa mbunge atakaechaguliwa maana hata kuwa na Kazi ya kufanya.matatizo yote yameshatatuliwa na the supreme leader.
Zzk sasa kila akiamuka anatoka na wimbo mpya,hata single zake mwenyewe ameshazisahau