Ilikuwa ni utani tu kwa Mbunge mwenzangu tena jirani yangu na rafiki yangu. Mbunge wa chama changu. Narudia. It was a joke
Wakati mwingine mnajiabisha kwa kuwa obsessed na maisha ya watu wengine. Hivi mnaujua uhusiano kati ya Zitto na Tundu na aina mbalimbali ya jokes kati yao. Unaweza kukuta wenzenu wanakumbushana story fulani iliyotokea chako ni chako nyinyi huku mnatoa nyongo tumboni. Vidonda vingine vya tumbo ni vya kujitakia!
Let Tundu be the one to complain. Tundu is smiling wewe huku unatokwa povu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Bora umekuja kuclarify....watu walikuwa wameshaanza kutokwa na mapovu!!Ilikuwa ni utani tu kwa Mbunge mwenzangu tena jirani yangu na rafiki yangu. Mbunge wa chama changu. Narudia. It was a joke
Lakini hiyo ni kauli ya kutoa bungeni????kama anamwandiko mbaya kweli asiseme?
Bora umekuja kuclarify....watu walikuwa wameshaanza kutokwa na mapovu!!
Lakini hiyo ni kauli ya kutoa bungeni????
Hapo kwenye red ndio nini hicho? Kama huna hoja si ukae kimya?Ule ulikuwa utani wa kibunge tuu,kwanza muda wake ulikuwa umekwisha na pia alitaka watu wajue kuwa kuna kawaida ya kupeana mawazo mtu anapochangia. Hakuna baya hapo.
Bora umekuja kuclarify....watu walikuwa wameshaanza kutokwa na mapovu!!
kama hayo maneno Zitto kayaongea Bungeni inaonyesha kabisa hekima yake ni ndogo sana
Nashukuru kuona na wewe umesikia hivyo ndugu. Maana kuna uzi nilianzisha watu wakanitukana kweli kweli na kuomba nipigwe ban. Mpaka nikahisi nilikuwa nasikiza mzimu au!!. na uzi ukafutwa!. Sijui kama na huu utakuwa na muda mrefu. Sidhani kama hapa kuna suala la Ugamba au Ugwanda. ndivyo alivyosema. Kama mtu utapigwa ban kwa kuandika ukweli humu JF basi sina haja ya kuwa member tena hapa JF.
Binafsi niliamini hivyo toka awali. Mie pia nilicheka sana. Unajua kwa kawaida mtu ambaye huna uhusiano naye wa karibu au urafiki huwezi kumtania. Umetudhibitishia TL ni rafiki na kamanda mwenzio katika mpambano huu.Ilikuwa ni utani tu kwa Mbunge mwenzangu tena jirani yangu na rafiki yangu. Mbunge wa chama changu. Narudia. It was a joke
Ha ha haaaa.....hasira za watu!
Tujiulize kwanza,Je kuna uhusiano kati ya akili na Mwandiko mbaya?
Wengine hatujali miandiko hata tulipokuwa tunawaandikia ma-girlfriend zetu walikuwa wakituchukulia hivyo hivyo na miandiko yetu mibaya,wasahihishaji wa mitihani walikuwa wanazingatia majibu sahihi ingawa ni vizuri kuimarisha mwandiko wako
Je,kuna uhusiano kuwa kiongozi mzuri/makini na aina ya uandishi wako? jibui ni hapana...kiongozi mzuri ni mtazamo
Matamshi kama haya Zitto ni matamshi ya kawaida tu na tuyachukulie simple.Mwandiko wa Lissu kama ni mbaya tuuchukulie simple tu kwa kuwa ni kiongozi makini.
Zitto tumchukulie simple tu,kwa kuwa kateleza kashindwa kuwa insensitive katika matamshi.Ili kuwa kiongozi makini ni lazima uwe sensitive anahitaji kujiimarisha hapa....
Lakini katika yote hayo kuhusu Lissu Zitto kadai ilikuwa utani tu.watu wana hasira kweli kweli.Sio mapovu.Lol