Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

Status
Not open for further replies.

Kuwa na Akili yakuzaliwa.Kwahili ata grade 6 dro-pout student,can figure it out,Hataki posho kwakua anavyanzo vingine vya kujipatia fedha,,,mfano kama rushwa hivi. PROBLEM SOLVED
 
mi nataka muhongo awataje waliohongwa ili mbivu na mbichi zijulikane.
Tujue nani anasababisha mgao wa umeme.
 

Hivi ni mchaga gani au mwanachama gani wa CDM aliyemtuma Mhe Zitto kuingilia maamuzi ya Wizara kumtimua mkurugenzi wake mkuu? kwa kuwa tayari bunge lina Kamati yake kisekta ni nini kilimsukuma Zitto kujitokeza katia vyombo vya habari kumtetea Mhando. Wakati wote Zitto amekuwa mstari wa mbele kukosoa wengine mkuki kwa nguruwe sasa zamu yake kukosolewa anaanza kuleta ukabila. Kwanza nani anajihusisaha na mambo ya urais ilihali Raisi wa sasa yupo katikati ya kipindi chake? Hizi ni tamaa za madaraka.

Kwa kushabikia kauli za Mwigulu Nchemba ni dhahiri kuwa Zitto ndiye alikuwa akimutumia Mwigulu Nchemba kutamnka hayo aliyoyatamka.
Point hapa iliyo mezani ni nini kilimuskuma Zitto kumtetea Eng Mhando na si vinginevyo?

kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakiwaunga mkono watu wanaotetea maslahi ya taifa, kwa taarifa yenu ambaio hamfahamu Katibu Mkuu Maswi ni mmoja wa watu waliojihusssha na harakati za kuleta mabadiliko hapa nchini kupitia sehemu mbali mbali mika ya 90 ndipo akamua kuingia serikalini na mabadailiko anayopigania ya kuuweka ukweli na maslahi ya taifa mabele ndio haya matunda yake. Nchi ilikuwa imeshatekwa na magenge ya wanasiasa kama Zitto , Makamba na wengieneo kwa kutumia Kamati za Bunge kuingilia maamuzi ya Bunge leo mnaanza kuibua haoja za udini na ukabila ili kujilinda
 
bora lowasa kuliko ww...maana umezd sasa, kila kukicha urais
 
Mwislamu yeyote Makini hawezi kuwaza Urais wa 2015 kwa system na utamaduni wa Tanzania. utaki unaacha.
Lowasa hii karata anaifahamu siku nyingi tu na atawaacha midomo wazi na hamtoamini macho wala masikio yenu. subilini tu only time will tell.
 
"Kwangu mi naona hizi ni siasa za urais na hasira za posho.wenye kutaka urais wa vyama vyote na wapambe wao,wameungana kunichafulia heshima yangu".
zzk hapa hoja nzito umejaribu kuijibu kwa hoja nyepesi na isiyo na mashiko ukilinganisha ww ni mwanasiasa na kiongozi mzoefu,pia umejaribu kujituhumu kabla ya kutuhumiwa ww binafsi,nadhan picha ndo kama imeanza ngoja tusubili ukweli daima utadhiirika.
 

mamluki @work
 
amemsomesha uyo bwana ambea huwa ana mwandkaga...

hapana, nimelifuatilia gazeti la mwananchi kwa muda mrefu na anayempamba zitto si mwandishi mmoja! ni waandishi wote wa mwananchi that's why nilisema zitto ni kama mmiliki wa gazeti... maana kwa akili ya kawaida sidhani kama kuna mmiliki atakubali gazeti lake litumiwe namna ile.. hidden agenda?! sijui
 

"ZITTO NA ID MPYA JAMIIFORUM SPECIAL KWA AJILI YA KUJISAFISHA NA KUKITUKANA CHAMA NA VIONGOZI WAKE MAKINI NA WANAOKIBEBA CHAMA KWA SASA,MNYIKA NA KINA SELASINI, HUYU JAMAA NI MNAFIKI NA MBAYA SANA ILA KINACHOFURAHISHA WATANZANIA WANAENDELEA KUMJUA VIZURI KADRI SIKU ZINAVYOENDA,uwezo wake ni kuwa rais wa wasanii wa leke tutigite!!shame"
 

upuuzi mtupu..guided by narrow thinking.jielekeze kwenye hoja
 
Hakuna hoja yenye mashiko hapo,Zitto umejimaliza mwenyewe na mbio zako za sakafuni,jitathmini wewe mwenyewe kabla yake kuwasonda vidole wengine,wanasiasa vijana mnalewa sana sifa jiangalieni na kati yenu hakuna wa kumpa nchi wote wahuni tu.

hata MNYIKA acha masihara
 
Kibaraka wa Zitto kwenye Gazeti la Mwananchi ni Ramadhani Semtawa, nadhani manegement ya Mwananchi hawajamstukia huyu Mwandishi, nafanya mpango wa kumuona Tido Mhando ili huyu Mwandishi achunguzwe maana anaaribu reputation ya Mwananchi.
 
Hili suala la Zito c la ukabila,mnaomtetea zito mlitaka bilioni 6 zipotee kwa msimamo wake kila mwezi?na hapo ndio maswali yanaanzia,lazima atakuwa na maslahi achunguzwe tu.
 

conscience-dhamira. Conscious-ufahamu.
 
Naamini kama umepitia michango mbalimbali humu utakuwa umeshagundua ya kuwa hoja yako haina mashiko.
Maswali kwa Zitto ni mengi kuliko majibu na inaelekea ameingia mahali ambapo sipo.
Watu wamelalamika sana kuwa hawamuelewi Zito msimamo wake na vitendo vya kupingana na wenzie katika chama vilishafanya watu wakamtilia mashaka.
Gazeti la Mwanahalisi lilitoa saa na tarehe ambapo Yito aliwasiliana na Nzoka wakati wa kuanza kampeni za Urais lakini mpaka leo hajatueleza kuwa alikuwa anazungumza nini na Nzoka huyu ambaye leo anahusishwa na matendo maovu.
Zitto atulie na afanye uamuzi lakini asikiyumbishe Chama ambacho wananch wengi wameanza kuonyesha matumaini nacho.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…