Zitto shujaa wangu wa Taifa!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,902
95,405
Mtu mmoja ila nguvu yake ni sawa na zaidi ya nguvu za Watanzania wote uchanganye kwa pamoja!
mariastsehai_B8HK5AbluTo.jpeg
 
nashangaa UKU MNAMUITA ZITO MSALITI NA TYR MNAMUHUKUMU, LKN UPANDE WA PILI MNAWABEZA HAO HAO WALIOSITISHA MPANGO WA KUTOA HIZO HELA KUWA , ZITTO ANAPELEKA TAARIFA KWA WAKOLONI.......... BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA............???
 
Zitto ni mtu mwenye nguvu kubwa sana na ushawishi mkubwa na muelewa sana sana katika siasa.

Pia hufuata sheria kwa kina zaidi na kwa ufasaha. Ndiyo maana wanaofuata mihemko ya kisiasa wanamuona muhuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlitabiri hapo nyuma kwenye thread (katika kuchangia hoja) kadhaa Zitto atakuja kushika madaraka ya nchi hii. Na nlisema huyu mtu ana akili kuliko viongozi wote nchini (anazijua takwimu za wizara zote kuliko hata mawaziri waliopewa madaraka, na anauwezo wa kuwatolea mtihani kuhusu wizara zao na wakafeli).

Mtu kama Mwita Waitara wakupewa kweli Unaibu Waziri TAMISEMI??? Anajua nini kuhusu "TAKWIMU" na "HISTORIA" ya Wizara Ya TAMISEMI??? Kweli kabisa??? Ina maana hakuna wa kupewa hio nafasi katika bunge zima zaidi yake yeye???. . . . Si masihara haya katika matumizi ya kodi zetu sisi raia wa hali ya chini.

Jana tumeshuhudia Brigedia Generali akiapishwa kua "MAKAMU WA TAKUKURU", anakua chini ya "CP Wa Polisi". Kweli Brigedia General anafanywa areport/awe chini ya CP Wa Polisi (Ki itifaki hii inasimama vipi)???

Zitto anachofanya sasa hivi wajinga hawata muelewa, ila kesho historia itamkumbuka sana.

Acha Zitto akinukishe, tumechoka u**nge u**nge unaoendelea.

Inatakiwa Zitto aanzishuwe *HASHTAG* #Shujaa Zitto
 
Namuelewa mwamba kama unaenda kununua ndege huku wsnafunzi wanakaa chini hizo sio akil halafu unataka mkopo ndo utengenezee mambo ya elimu ikulu, ccm, jiwe, makonda , wote fvck you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alexander The Great,
Hamna kitu hapo , mara miambili umpe Lissu uraisi kuliko Zitto , jamaa ni mchangamshaji Tu wa kisisa Ila hakuna tumaini lolote Kwa Zitto
 
Back
Top Bottom