Zitto: Serikali iko tayari kulipia ndege Sh1 trilioni kuliko kuokoa wakulima 1.4M wa tumbaku kwa Sh150 bilioni tu

serikali hii imekosa vipaumbele vingi tu kwa mfano inawanyima wanafunzi wetu wa elimu ya juu mikopo mpaka wengine wanaacha vyuo kisa bombadier. hasara sana....
 
Kwanini hayanunui?
Wanunuzi wananunua toka kwenye makampuni! Kwanini makampuni hayanunui kutoka kwa wakulima? Au yanezuiwa wakati serikali haina uwezo huo!

tumbaku sio mahindi wewe ndo maana kuna makambuni ya kununua na vyama vya wakulima kuuzia huko.

ingekuwa inauzwa kama mahindi hao wanunuzi ungewaona wao hununua toka kwenye makampuni
 
Amesikia serikali inavutaga tumbaku mpaka inunue tena yote??
Huyi jamaa anavyozidi kuwa mtu mzima na akili zinapungua.
We jamaa nimeshindwa ku rate ubongo wako hata kwenye negative hupo. Nawaza tu umewezaje hata kushika simu na ubongo huo
 
Jana kwenye taarifa ya habari kuna wakulima walikuwa wanalia sana sana na tumbaku imeanza kuharibika Tabora huko. Bado mwezi tu tuanze.kudaiwa school fee na pesa yote ipo ghalani,mayo weeeeew
Nashauri wakulima hao waachane na zao hilo maana wazutaji sio wengi kama zamani , na ka mtu anajitahidi kuacha matumizi ya tumbaku
 
Back
Top Bottom