Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,615
- 17,607
Tunakaribia uchaguzi hizo Bilioni 800 zimepigwa na ikulu kwa ajili ya uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ripoti ya CAG ni muhumi ispokuwa tu haileti mlo mezani. Kwa bahati mbaya wapinzani wameing'ang'ania utafiri ni muhimu kwa maisha ya watanzania tulio wengi. Huko Marekani wapinzani wamegundua hilo-TAZAMA
LEESBURG, Va. – House Democrats pushing for the release of special counsel Robert Mueller's report on Russian election interference say they are not hearing much interest on the subject from their constituents back home.
Jingalao ccm hiliTueleze kuhusu hati zisizoridhisha zinatokeaje Kigoma mara ya tatu mfululizo?
Mkurugenzi ni jizi kada wa ccm, pesa yote ya Halmashauri iko chini ya DED jizi kutoka Uvccm.Tueleze kuhusu hati zisizoridhisha zinatokeaje Kigoma mara ya tatu mfululizo?
Usiseme kwa sauti Mkuu, hawapendi ukweli.Kumbe ndio maana mpaka CDF anatumiwa kutisha watu?
Hata zile zilizopigwa polisi zinawezakuwa zimepitishia tu.Mm nilipoona mtoto wa Dada ndo kashika ufunguo wa kibubu chetu imani ilikufaTunakaribia uchaguzi hizo Bilioni 800 zimepigwa na ikulu kwa ajili ya uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa style hii hata mimi ningekuwa rais ningetumia jeshi kutisha wananchi maana kwa uozo huu haufanani na awamu zilizopita....
Asante mh ZITTO
Wewe sasa niwakupuuzwa kumbeRipoti ya CAG ni muhumi ispokuwa tu haileti mlo mezani. Kwa bahati mbaya wapinzani wameing'ang'ania utafiri ni muhimu kwa maisha ya watanzania tulio wengi. Huko Marekani wapinzani wamegundua hilo-TAZAMA
LEESBURG, Va. – House Democrats pushing for the release of special counsel Robert Mueller's report on Russian election interference say they are not hearing much interest on the subject from their constituents back home.
Hii nchi naionea huruma sana chini ya magenge ya wezi Jiwe, Doto na BashiteIna maana CAG akitaka nyaraka na ndege anaambiwa anazo rais mwenyewe?na rais akiombwa anasema subiri nirudi au njoo ukague chini ya ulinzi? Zitto
Hata chama chake cha ACT kina hati za mashaka miaka mitatu mfululizoTueleze kuhusu hati zisizoridhisha zinatokeaje Kigoma mara ya tatu mfululizo?
Hii nchi naionea huruma sana chini ya magenge ya wezi Jiwe, Doto na Bashite