Zitto: Nitagombea Ubunge 2010

Mkandara,
Unajikatisha tamaa tu. Kwani Zito alihonga huko Kigoma kuupata UBUNGE? Shujaa wangu kwa Wabunge wa sasa ni Dr Slaa sio Zitto. Zitto yumo mle kimaslahi zaidi kuliko mnavyompamba humu.
 
Haya maoni ya 2010 ina maana baada ya kuchaguliwa 2005 ,2010 akadai hagombei tena .baada ya 2010 akadai hagombei tena , tuweke vichwa wazi tujifunze kutoka kwa hawa wahenga wa jf walichosema . Hii thread itasaidia vijana wetu wa facebook wasiojua asili ya haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…