goggles
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,417
- 2,356
Huwa unayatumia hayo??Kama huogopi yalete ayo mat*k*
Ohoo, kumbe huwaga unakunya rungu?Kunya rungu.
dodge
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
Wewe kichwa chako kibakie kufugia nywele tu lakini kwenye kufikiria haumo kabisa. Ni kama cha bata majiWaTZ sisi ni mazwazwa malofa tusio na fikra huru, tunaendeshwa kwa mihemko.
Hii nchi ni yetu sote hakuna mwenye hatimiliki ya maisha ya mwingine na yeyote mwenye kutoa maoni bila kupindisha hasa kwa serikali iliyopewa nafasi ya kusimamia taratibu katiba za namna tutaishi kama watu huru hapaswi kunyooshewa kidole ni jambo LA kipekee na la Kishujaa.
Kilichofanywa na Zito na mpumbavu pekee atakayeona ni jambo lisilofaa kuna mengi sana hiii serikali inayafanya kakandamiza RAIA mwenye uthubutu was kupaza sauti dhidi ya maovu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naitwa NaniUnaitwa Nani?
Upi ukiukwaji?Zitto anastahili mapokezi ya kishujaa. Ameonyesha uzalendo mkubwa kuuanika ukandamizaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini.
Hapo Zitto alikurupuka. Ana uhakika gani kama Mh Dokta mwenye degree tatu John Magufuli Pombe anahusika na hiyo sms ?
Mkuu, hilo takataka siyo la kuita mkuu!lisu alitunga ? tumia akili mkuu
Sent from my iPhone using JamiiForums
WEWE MPUUZI TUAtatunga mengi tu huyu mpuuzi.
Utampokelea kwenye keyboard, hamna shida.Zitto anastahili mapokezi ya kishujaa. Ameonyesha uzalendo mkubwa kuuanika ukandamizaji wa haki za binadamu unaofanyika nchini.
Keyboard hizihizi leo magu na bashite hawalali unono.Utampokelea kwenye keyboard, hamna shida.
Ohoo, kumbe huwaga unakunya rungu?
Dawa yako ni kukubloki tu.WEWE MPUUZI TU
Kama ni wewe kweli elewa katika wapuuz tz wewe ni namba 1. Pamoja na kwamba huna mtoto lakini uwe na huruna na watoto wa maskini.
+ imekutoa akili
Sent using Jamii Forums mobile app