Zitto: Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa simu “tutakushughulia labda usirudi". Nikajisemea lipi jipya watafanya?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
 
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumwua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." Zitto Kabwe.
Hapo Zitto alikurupuka. Ana uhakika gani kama Mh Dokta mwenye degree tatu John Magufuli Pombe anahusika na hiyo sms ?
 
Back
Top Bottom