Zitto: Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa simu “tutakushughulia labda usirudi". Nikajisemea lipi jipya watafanya?

kuna wajinga wanataka kuingia kingi kwa zito tambuaeni zito mwehu ila waliopo nyuma yake ndo wameshika mshipi
 
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
Huyu magu atakuja kujuta we mwache tu.
 
Hebu niambie wewe unayejua kiingereza kimekusaidia nini? Kulalamika hovyo kila siku? Kwa kiingereza?
KIME NISAIDIA MNO.... KAZI ZANGU ZOTE ,BIASHARA ZANGU ZOTE NAFANYA NA WATU WANAO ONGEA ENGLISH PEKE YAKE. DAH KWA HIYO ENGLISH INANI SAIDIA SANA.
 
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
Zitto umewakamata vibaya sana nowa wanahaha, usilegeze uzi kaza zaidi ya hapo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema wabongo wanafiki sana! Mtu aliewahi kumsingizi amiri jeshi mkuu kifo na hakukamatwa leo anaenda ubeberuni anaenda kudai hakuna haki yakuongelea suala la wajawazito kurudi shule..! Serious
 
Upi ukiukwaji?

Kuzuia msiuze chanel 0?

Katika list za nchi zenye ukiukwajj wa haki za binadamu duniani,je Tanzania ni ya ngapi?

Hivi egypt,Libya au hapa Burundi nk?

Mbona hatusikii wakisemwa?

Kisa kukatalia mali zetu za asili?

Wasaliti tutawabana hapa hapa.

Time will tell!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo haya mnayofanya yapuuzwe coz bado hatujaingia kwenye list, kenge kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
tapatalk_1580477689184.jpeg

Jr
 
70 Reactions
Reply
Back
Top Bottom