Zitto: Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa simu “tutakushughulia labda usirudi". Nikajisemea lipi jipya watafanya?

Siku zote Zito amekua akijiona ni mtu aliesahihi,alianza na Chadema akaivuruga,sasa amehami kwingine,ila jamaa anakipaji sana.
 
Kijana angu zitto wewe Ni mtu mdogo sana katika Taifa hili. Walikuwepo watu machachari zaidi yako waliojaribu kupambana na serikali Kama kina; Kambona, Ulimboka, lissu na wengine lkn mwisho wa siku wali/mezikimbia nchi zao hawana Uhuru wa utanzania Tena.

Kwahiyo wewe mrundi&mkongo tulia acha kuitikisa nchi yetu huiwezi hata kidogo.
 
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
Unatafuta mileage naona. Zitto huna jopya acha misifa ya kijinga na liuso lako lilivyokukakamaa kama kinyago cha kujifunzia. Muuaji mkubwa. Watu watake kukudhulu wakujulishe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Nilipoamka leo nilikutana na ujumbe wa Simu “tutakushughulia labda usirudi”. Nikajisemea lipi jipya watafanya? Azory, Saanane na Kanguye wamewapoteza. Lissu wamemshambulia kwa Risasi ili kumuua. Erick na kina Tito wapo jela. Lipi lipya watafanya? Magufuli SIKUOGOPI aslani." - Zitto Kabwe.
Kama ni wewe kweli elewa katika wapuuz tz wewe ni namba 1. Pamoja na kwamba huna mtoto lakini uwe na huruna na watoto wa maskini.

+ imekutoa akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom