Zitto ni kiongozi shupavu

Status
Not open for further replies.

Invisible mkuu watu kama hawa sio wa kuwaumbua na I'D Bali kuwafutia kabisa post zao.


juzi katukana jf mzima kuwa ni wapumbavu kule jukwaa la malalamiko,leo mnamlea tu huyu bee.ge.!!!
 
Last edited by a moderator:
Zitto anapendwa sana na viongozi wake wa chama yaani Mbowe Slaa na wengineo tatizo hafiti katika mfumo unaohitajika kuendelezwa. Ukweli hakuna Raisi aliyeweza kuiongoza Tanzania kwa mafanikio ukilinganisha na waliopita zaidi ya kikwete ila kautingisha mfumo ndio maana anachukiwa sana hivyohivyo wanamuogopa zitto atakapoingia madarakani atautingisha mfumo kama Jk Kikwete.
Tanzania tutabakia maskini mpaka pale mfumo utakapovunjwa kwani mfumo wa sasa unawatenga zaidi ya 50% ya wananchi wake.
Mfumo unatumia rasilimali za Taifa kwa kuzisafilisha kwenda Vatican na baadae kurudishwa kidogo kama msaada ila ukilenga kundi la wananchi na wengine kuminywa.
Mungu ni mkubwa kidogokidogo yataisha hata ikibidi kwa mtutu.
 
Yetu macho na masikio, wakati utatuambia ukweli. Ila ukitaka usiongelewe sana tofauti acha ukigeugeu katika siasa. Chadema imarisheni intelijensia ya chama.
 
Kwa nini mnapenda kumsemea Zitto ili hali yumo humu???!!

Cha ajabu Zitto nae anakubali kusemewa,hakika anajuana na kundi lake na mchezo wao wa diversion and defend,ni Undumi la kuwili na kujiona wajuvi ili halo ni upuuzi!!!
 
Pro SSM at work!! Ha ha ha!! Kama si Zitto, basi utasikia Dr, Kama si Dr. Basi ni Mwenyekit, kama si Mwenyekiti ni wale wabunge wanaowakilisha watanzania kiukweli bungeni na hawana nafasi ya kusinzia na kutokwa na udenda na tongotongo. Hakika CDM inaumiza watu vichwa!!! Hata masalia hawana nafasi!!! Hata mnunue watu kwa ugaidi haitawezekana!! CDM ni mkombozi.
 
Ha Ha haa! ! ! CCM acheni provocation,tunajenga chama.

Sawa kamanda ila imarisheni indelijensia ya chama ili matukio kama ya Lwakatare yasitokee tena kwa kushtukiza bali yafichuliwe mapema kama yale ya masalia.
 
La lwakatare limeshagonga mwamba.Naona Zitto ndio kete ya mwisho ya CCM!Asipotetereka CCM nunueni panadol kila mtu lile kopo kubwa linalokaa vidonge elfu moja!
 

dhumuni kubwa la hii post haswa ni nini? Labda kuna maneno umeyaacha mkuu sijaielewa. Na kama imeishia hapo utakuwa unaidanganya nafsi yako maana wewe si zitto usimsemee.
1. Hajazaliwa chadema usitudanganye.
2. Hatafia chadema, usitupotoshe.
 

Yaani umekaa kabisa kuwa na wewe umetoa hoja? Suala la EPA, Richmond, mikataba mibovu ya madini na deepgree scandal ndio maana ya JK kutingisha mfumu? Wewe ni mdini na hiyo kansa itawatafuna daima.
 
Ben asingechangia mjadala unaomuhusu Zitto ningeomba nipigwe Ban la miezi mitatu halafu cha kushangaza Zitto hana time nae wala hutamsikia akimjadili kwa Wema au ubaya Mtandaoni!

Nimejiunga JF tangu 2007,Habari inayokihusu chama changu ni lazima niifuatilie bila kujali ni nani anajadiliwa.Taasisi kwanza
 

Hivi unajua katika uchaguzi wa 2010 ZITTO alipata kura ngapi na aliyemfutia alipata kura ngapi? Kama huna data muulize mwenyewe akueleze jinsi alavyonusurika ili uache kubwabwaja!!
 

>Ningependa zzk atutumikie kwa muda mrefu zaidi waTZ,
>Sitopenda kumuona anachukua urais na kustaafu mapema hii.
>kama sikosei zzk umri wake ni miaka 36 +2 =38, mwaka 2015
38 + 10 =48
>angalau umri utakuwa unaridhisha,atakuwa anaubora na uzoefu mara dufu ya alionao.

>sasa 2015 atakuwa na miaka 38 kama sikosei.
38 +5= 43
akibahatika kupata awamu ya pili ya urais, 43 + 5 =48

>kwahiyo anataka aachane na siasa akiwa na miaka 48?
AKAFANYE NINI MTAANI?

>Zitto tunamhitaji kwa muda mrefu zaidi kwani ni kiongozi bora.

>Labda ningependa awe mgombea mwenza 2015 ama Ikiwa bahati cdm ikichukua nchi aje kuwa waziri mkuu akijiandaa kuchukua nchi akiwa na miaka 48 baada ya awamu ya pili ya CDM kama washika dola..



>EIDHA, ZZK AKIWA MGOMBEA MWENZA MWAKA 2015 ATAISAIDIA ZAIDI CDM KULIKO KUSABABISHA MGAWANYIKO MKUBWA WENYE DALILI YA KUTOKEA KWANI hata hoja inayomuhusu yeye ama Dr.S mara nyingi usababisha mtafaruku wauchangiaji.

TUJENGE NA WALA TUSIBOMOE.
 

Haihitaj jicho la tatu kuona n jins gan zto hayuko mctar mmoja na makamanda wenzake, hasa ukiangalia mambo meng chama kinakabiliwa nayo lakn yuko kmya
 
Haihitaj jicho la tatu kuona n jins gan zto hayuko mctar mmoja na makamanda wenzake, hasa ukiangalia mambo meng chama kinakabiliwa nayo lakn yuko kmya

Mkuu unataka aongee nini kama matamko yanatolewa bila kuhusishwa na namba yake ya simu inaonekana unadhani hata kama ingekuwa wewe ndio kiongozi zitto utafanyaje?
>Huku kuna taarifa za yeye kuuwawa na attempt nyingine kwa bi mkubwa wake za kumuua zinajirudia unadhani atakuwa confotable kuhudhuria mishemishe za chama kama m4c ambazo anytime anaweza kushutiwa na kuuwawa?
Muoneeni huruma zito naye ni binadamu anautashi wake na mawazo yake ambayo always wabaya wake hampendi kuyasikia, zitto ana marafiki zake wengine Ccm na wengine cdm msimfanye achague wa kuongea naye eti kwakuwa wanaitikadi tofauti za chama.
Zitto hawezi kufuata kila lisemwalo na wakuu wa cdm wenzake sababu kuna mambo hayana maana ila unakuta chama kinashikilia.
LEMA ANASEMA "TUMEMPA ZITTO KAMBA AJINYONGE MWENYEWE" sasa fikiria kauli kama hii hnaleta picha gani.
 
Ni vigumu kwa uongozi kukubali lakini Zito ndio jembe la chama...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…