Mwalimu Mzalendo
Member
- Mar 17, 2013
- 21
- 3
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua kuwa Zito ndio jembe pekee linaloweza kupata kura ya urais kama akigombea kwani baada ya sakata lililopo la lwakatare Jina la Dr limeanza kufifia kwa kasi kwani muda si mrefu Ludo ataanza kutoa siri.
Wanachama wengi wa mikoani wanamkubali sana zito kuliko Slaa ambaye anaonekana kukubalika maeneo ya njiro na karatu tu. juzi niliongea na vijana wenzangu pale unga ltd na wengi walionekana kumsifia sana ZZK
Bila shaka wewe unawafahamu viongozi wenye sifa hizo? Ni kwanini usiokoe muda wetu kwa kututajia japo wawili tu?Mleta mada hata kama unampenda ZZK kwa hoja dhaifu ulizozitaja mwenyewe bila kujali mahitaji ya Watanzania kwa wakati huu, kujadili watu wengine wasiopaswa kuhusika ni mapungufu makubwa hata kama unayosema yana ukweli. Tambua Watanzania tunahitaji mtu jasiri na mwenye uwezo wa kupambana na ufisadi, rushwa, ujinga, umaskini, maradhi na udini unaoenea kwa kasi. Cha msingi tupe mikakati yake ya kufanya haya mambo kwa ufanisi.
NINGEPENDAA ZITO AWE RAIS WANGU WA 5. SBB ANAUWEZO,ANAJIAMINI,ANARECORD NZURI, HAKUBALI KUBURUZWA PALE HAKI INAPOPINDISHWA.
Pumba tupu, majungu tu yana kusumbua
Na wewe unajiona una uwezo wa kujua Dhana zote za Zitto kabwe sio? Kajifunze Egoism Principle ujue sifa kuu ya Wanasiasa waloleta MabadilikoDunian walikuaje? Unamjua Kiongoz wa Tz alojulikana kama Bwana Haambiliki? Uwezo wa Zitto ni wa juu kiasi cha Thiking capacity zenu kuelea elea hewani!
Bila shaka wewe unawafahamu viongozi wenye sifa hizo? Ni kwanini usiokoe muda wetu kwa kututajia japo wawili tu?
Asante kwa kunisahihisha,huyu Jack Nzoka ni nani na mazungumzo yaliyonukunuliwa na gazeti la Mwanahalisi pamoja na muda yalipofanyika ilikuwa kati ya Zitto na nani?Hakuna cheo cha kaimu mkuu wa UWT, unaendeleza upotoshaji na ushabiki wa hoja za kuunga unga uonekane wajua
Asante kwa kunisahihisha,huyu Jack Nzoka ni nani na mazungumzo yaliyonukunuliwa na gazeti la Mwanahalisi pamoja na muda yalipofanyika ilikuwa kati ya Zitto na nani?
Sina sababu yoyote ya kutaka nionekane kuwa najua kwani hapa hakuna mtihani wala si sehemu ya kupima uwezo.
Kama utakuwa uko huru kifikra wala cio ushabiki utaona mheshimiwa ZITO ni kiongozi makini kwann nasema ivo yy ndo chachu ya ukombozi tazama aliingia bungeni akiwa kijana mdogo lakin mzee wa mvi kwa hoja tazamA michango yake bungeni, tazam hoja binafsi anazopeleka bungeni bila shaka kuna watu hawana shukrani mm ZITO hanijui wala cmjui zaidi ya hoja zake msimamo kijiamini.watu wanaweza kumsema vibaya kwa kuwa hawapendi ukweli wanafata majina makubwa ya chama ambapo wasingependa uhoji hoja zao u have to accept anything they say and don challenge. Wapo watu hawaangallii historia ZITO ndio amewaspire vijana wengi kupenda siasa. NINGEPENDAA ZITO AWE RAIS WANGU WA5. SBB ANAUWEZO,ANAJIAMINI,ANARECORD NZURI, HAKUBALI KUBURUZWA PALE HAKI INAPOPINDISHWA. ILA NAJUA VIKWAZO NI VINGI NAWAONA MADIKTETA WA HOJA,WASHABIKI WA WATU BADALA SERA NA HOJA ZA MTU. NAMUOMBEA MUNGU AMLINDE NA KILA MWENYE NIA MBAYA NA MKOMBOZI HUYU WA TAIFA LA TANZANIA,MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU IBARIKI AFRIKA