Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,494
Anazungumzia kilichotokea jana.
- Anatetea hoja yake ya kutaka bunge lioneshwe live. Anasema billion 4.2 ni hela ndogo kwa serikali kila mbunge analipwa 220k kwa kila kikao kwa vikao 180 vya bunge kwanini wasipunguze hizo posho au wafute kabisa ili wananchi waone bunge live.
- Anasema TBC wana TBC two ambayo haina cha maana kinachorushwa huko kwanini wasitumie hiyo kuonesha bunge halifu TBC one wafanye ya biashara.
- Anauliza jana Nape ametumia nusu saa nzima Azam extra hiyo hela imelipwa na nani
- Anasema mkakati wa serikali ni kutaka wao ndo waonekane wanafanya kazi kuliko wao. Maana wao wanapata platform.