Zitto: Namkubali Rais Magufuli asilimia 100, sizitaki tena siasa za vurugu

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,816
Akiwa ujiji mjini jana mh.Zito aliyasema hayo kwa jazba kidogo, na akaweka bayana kua anawashangaa wale wanaojiita wapinzani ambao kazi yao ni kumpinga tu Rais Magufuli kwa kisingizio cha kukipinga chama cha CCM.

Zitto sasa kaamua kuonesha rangi yake halisi ni ipi, na ametuaminisha ata yale maneno yake aliyokua anayasema ya kumpinga, kumponda na kumkebei Rais Magufuli tangu mwanzoni mwa mwaka huu yalikua ni ya uongo tu na ya kijinga sasa kashalijua kosa lake? Hahahahaaha yawezekana zitto sio smart kama ambavyo watu wengi tumekua tukimzania, na yawezekana asilimia 100 chadema haikukurupuka kumfukuza.

Zitto jifunze kua na akiba ya maneno ndugu yetu.
 
source pliz
 
Kitu safi ni safi tu,WaTz tuwe wakweli tuache kuwatetea mafisadi-walau tumepata yule anayeweza kuzungumza jambo ambalo linatoka ndani ya moyo wake, sasa tumuunge mkono badala ya kumkatisha tamaa na hapo Zito anapata credits!!!
 
Mkuu sie hatuna tatizo na Rais, swala hapo ni maneno aliyokua anayasema awali Zitto ya kumponda na kumkebei Rais uyo, na kauli yake hii ya jana inazua mushkeli na uwalakin juu ya uelewa wa zitto.
 
The Best ever President.. My president JPM..

100% efficient, labda ukiwa CDM tu ndio utampinga, kama mwanadamu nakubali JPM anaweza kuwa na mapungufu madogo ya hapa na pale, but his best Leadership, corruption fighting & combating, patriotism na kujenga nchi yetu kwa vitendo hapo HAKUNA MASWALI.. He is the best, period..!!
 
Back
Top Bottom