Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,167
- 28,818
Zitto ana watesa sana hadi mnachanganyikiwa! Si mlisema swala lake mmeshalimaliza na mmemfukuza? Kinacho wahangaisha ni mini?
Wewe mchokoze na unajua akiongea watakao pata madhara zaidi ni Slaa na Mbowe!
Zitto ni mtu makini sana na ana akili kuwazidi viongozi wote wa chadema hivyo hawezi kujibishana nanyie tena!

Mmeanza kujiharishia wenyewe zitto kimyaaaa ama kweli jibu la mjinga ndio hilo.
Zitto anapanga mikakati ya siasa za kivita ngoja mwaka kesho shughuli pevu.
Huyo ni kupe, kang'ang'ania kwenye ngozi. Bila kutolewa kwa nguvu hatoki.
Ana madhara gani yeye kuendelea kuwa CHADEMA kama kweli hamumuhofii