Zitto: Najuta kususia bajeti kuu ya serikali!

Status
Not open for further replies.
kufuatia maamuzi yaliyo tolewa na mbowe kwa wabunge wote wa chadema kuacha kuhudhuria vikao vya bunge na kuwaamuru wote waende msibani arusha, ili kujumuika na makamanda wengine kuwazika wahanga waliopoteza maisha kwenye mlipuko wa bomu, zitto amefunguka kuhusu kulichopo moyoni mwake kama ifautavyo;

"kodi ya tsh. 1000 kwa mwezi kwa kila kadi uliyonayo imeanza rasmi. Bunge la wananchi, wawakilishi wa wananchi, limepitisha kodi hii.

Hailipwi na kampuni ya simu, inalipwa na wewe mwenye simu. Kampuni ya simu ina kusanya kwa niaba ya serikali.

Ingawa sikuwepo wakati j]kodi hii inapitishwa na bunge, siwezi kukwepa wajibu wa kuaibika kwa kuwa sehemu ya bunge hili.

Ni aibu kwa kuwa pendekezo la kodi hii liliondolewa na waziri wa fedha kwenye hotuba yake ya makadirio ya mapato ya serikali.

Pendekezo lilirudishwa kwa namna gani, kupitia muswaada wa fedha, haieleweki. Ni skandali.

Nasikia vibaya sana kuwa mbunge kwenye bunge lenye maamuzi ya namna hii. Nasikia aibu kwamba hatukupiga kelele za kutosha kuzuia jambo hili."

my take;

mbowe unapaswa ujifunze ujasiri na ukomavu unapokuwa kwenye siasa. Hisia zako za kudhani wakienda wabunge wote wa chadema ndio itaonyesha kuwa umeguswa na tukio, basi umepotoka.

Maamuzi yako yamepelekea serikali kufanya maamuzi kandamizi kwa wananchi, kwani wote tunajua kuwa zitto ndiye waziri kivuli wa fedha, na yeye alikuwa na nguvu katika kulisimamia uozo huu usifanyike. Lakini kwa maamuzi ya 'kidikteta' ya mbowe, taifa limeingia kwenye mzigo mzito.

Chadema kwenye hili mmeliangusha taifa.

sijaona mahalia aliposema anajutia - labda kama tumekuwa wasoma nyoyo za watu.

Kufuatia maamuzi yaliyo tolewa na Mbowe kwa wabunge wote wa CHADEMA kuacha kuhudhuria vikao vya bunge na kuwaamuru wote waende msibani Arusha, ili kujumuika na makamanda wengine kuwazika wahanga waliopoteza maisha kwenye mlipuko wa bomu, Zitto amefunguka kuhusu kulichopo moyoni mwake kama ifautavyo;

"Kodi ya Tsh. 1000 kwa mwezi kwa kila kadi uliyonayo imeanza rasmi. Bunge la wananchi, wawakilishi wa wananchi, limepitisha kodi hii.

Hailipwi na kampuni ya simu, inalipwa na wewe mwenye simu. Kampuni ya simu ina kusanya kwa niaba ya serikali.

Ingawa sikuwepo wakati j]kodi hii inapitishwa na bunge, siwezi kukwepa wajibu wa kuaibika kwa kuwa sehemu ya bunge hili.

Ni aibu kwa kuwa pendekezo la kodi hii liliondolewa na waziri wa fedha kwenye hotuba yake ya makadirio ya mapato ya serikali.

Pendekezo lilirudishwa kwa namna gani, kupitia muswaada wa fedha, haieleweki. Ni skandali.

Nasikia vibaya sana kuwa mbunge kwenye bunge lenye maamuzi ya namna hii. Nasikia aibu kwamba hatukupiga kelele za kutosha kuzuia jambo hili."

My take;

Mbowe unapaswa ujifunze UJASIRI na UKOMAVU unapokuwa kwenye siasa. Hisia zako za kudhani wakienda wabunge wote wa CHADEMA ndio itaonyesha kuwa umeguswa na tukio, basi umepotoka.

Maamuzi yako yamepelekea serikali kufanya maamuzi kandamizi kwa wananchi, kwani wote tunajua kuwa Zitto ndiye waziri kivuli wa fedha, na yeye alikuwa na nguvu katika kulisimamia uozo huu usifanyike. Lakini kwa maamuzi ya 'kidikteta' ya Mbowe, taifa limeingia kwenye mzigo mzito.

CHADEMA kwenye hili MMELIANGUSHA TAIFA.

Wewe una uwezo mdogo hiyo Kodi wameiweka CCM, walaumu CCM na si kuwatupia lawama watu ambao hawahusiki.

Je Kodi kandamizi kwa wananchi imeanza leo??? au tangu zamani.
 
Hata Chadema wote wangalikuwepo basi wangelipitisha tu kwa NDIOOO halafu baadhi Yao hulalamika nyuma ya pazia
 
EMT,

Hapa nadhani pro CHADEMA wanataka wakwepe ukweli.

Kila siku imekuwa inasemwa humu, wabunge wa CCM hawafai, sasa iweje leo tuwajadili?

Hapa nadhani tuwajadili wale ambao tunadhani ni bora zaidi kwa watanzania. Kwa hisia za wengi humu nao ni wabunge wa CHADEMA.

Sasa kama wabunge wa CHADEMA ndio bora, sasa iweje Zitto anakiri kufanya blunder ya namna hii? yani hata nafasi yao ya kupiga makele nayo wameikosa?

Sijui kama unanielewa? ni mambo mengi Zitto amekuwa akiyasema bungeni, ila kwake yeye ilikuwa bora taifa lijue kuliko kukaa kimya kwa kuamini kuwa HAWEZI KUBADILI KITU.

Na niseme wazi, bora yake yeye kajuta, kwani wengine ndio hata hawajui impact kwa wananchi kwa kukosekana kwao bungeni.

Nyinyi dawa yeni ni kwa wananchi na si bungeni maana tumechoka na hizi Ngonjera zenu....

Wabunge wa CCM pamoja wa Washirika wanazidi 300, wabunge CDM wako kama 48 sasa unataka kusema hoja iliyoungwa na watu 300 isipite kwa sababu ya Zitto peke yake??? Acha uwongo.
 
Huu ni mfano mzuri sana wa msukule wa Dr Slaa. Yani haoni chochote kile, haoni uhusika wa CHADEMA, ameshindwa hata kuona kuwa Zitto kajuta kwa kususia kwake bajeti. Jamani hivi CHADEMA ina watu wa aina gani?

Ulianzisha hii thread ili utukane watu?
 
Walaumu wabunge na serikali ya CCM! Nugu zetu masikini huko vijijini masikini tumewanunulia vijisimu ili tuwatumie MPESA aka VODAPESA, leo wanaanza kulipa buku?? Buku lenyewe ndo mlo wao leo serikali inaona ni sehemu ya kupata kipato. Wabunge wa CCM ni janga kubwa la kitaifa!
 
Kufuatia maamuzi yaliyo tolewa na Mbowe kwa wabunge wote wa CHADEMA kuacha kuhudhuria vikao vya bunge na kuwaamuru wote waende msibani Arusha, ili kujumuika na makamanda wengine kuwazika wahanga waliopoteza maisha kwenye mlipuko wa bomu, Zitto amefunguka kuhusu kulichopo moyoni mwake kama ifautavyo;

"Kodi ya Tsh. 1000 kwa mwezi kwa kila kadi uliyonayo imeanza rasmi. Bunge la wananchi, wawakilishi wa wananchi, limepitisha kodi hii.

Hailipwi na kampuni ya simu, inalipwa na wewe mwenye simu. Kampuni ya simu ina kusanya kwa niaba ya serikali.

Ingawa sikuwepo wakati j]kodi hii inapitishwa na bunge, siwezi kukwepa wajibu wa kuaibika kwa kuwa sehemu ya bunge hili.

Ni aibu kwa kuwa pendekezo la kodi hii liliondolewa na waziri wa fedha kwenye hotuba yake ya makadirio ya mapato ya serikali.

Pendekezo lilirudishwa kwa namna gani, kupitia muswaada wa fedha, haieleweki. Ni skandali.

Nasikia vibaya sana kuwa mbunge kwenye bunge lenye maamuzi ya namna hii. Nasikia aibu kwamba hatukupiga kelele za kutosha kuzuia jambo hili."

My take;

Mbowe unapaswa ujifunze UJASIRI na UKOMAVU unapokuwa kwenye siasa. Hisia zako za kudhani wakienda wabunge wote wa CHADEMA ndio itaonyesha kuwa umeguswa na tukio, basi umepotoka.

Maamuzi yako yamepelekea serikali kufanya maamuzi kandamizi kwa wananchi, kwani wote tunajua kuwa Zitto ndiye waziri kivuli wa fedha, na yeye alikuwa na nguvu katika kulisimamia uozo huu usifanyike. Lakini kwa maamuzi ya 'kidikteta' ya Mbowe, taifa limeingia kwenye mzigo mzito.

CHADEMA kwenye hili MMELIANGUSHA TAIFA.

Na kwa maana hiyo ule mpango wa ku-harmonize namba za simu umekufa rasmi????
 
Zitto ni kijana mwajibikaji. Amegundua kuwa jambo alilofanya yeye na wabunge wengine wa CHADEMA si sawa, kwani atleast wangekuwepo wangeweza kupigia hilo jambo kelele. Hata kama wasinge badili kitu, hata kulisemea tu wananchi wakajua, ni bora zaidi.

Mimi namkubali sana Zitto, haoni vibaya kukubali kosa lake, tofauti na wanaCHADEMA wengine.

Zitto ndiye jembe chadema, kwani ameiva kisiasa.

Mkuu kama watukufu wabunge wa CCM hawawezi kukuona ubovu wa muswada mpaka wabunge wa CDM wawepo, usiishie kumtetea Zitto. Tuambie umewapuuza wabunge wa chama chako tukuelewe.
 
Kufuatia maamuzi yaliyo tolewa na Mbowe kwa wabunge wote wa CHADEMA kuacha kuhudhuria vikao vya bunge na kuwaamuru wote waende msibani Arusha, ili kujumuika na makamanda wengine kuwazika wahanga waliopoteza maisha kwenye mlipuko wa bomu, Zitto amefunguka kuhusu kulichopo moyoni mwake kama ifautavyo;

"Kodi ya Tsh. 1000 kwa mwezi kwa kila kadi uliyonayo imeanza rasmi. Bunge la wananchi, wawakilishi wa wananchi, limepitisha kodi hii.

Hailipwi na kampuni ya simu, inalipwa na wewe mwenye simu. Kampuni ya simu ina kusanya kwa niaba ya serikali.

Ingawa sikuwepo wakati j]kodi hii inapitishwa na bunge, siwezi kukwepa wajibu wa kuaibika kwa kuwa sehemu ya bunge hili.

Ni aibu kwa kuwa pendekezo la kodi hii liliondolewa na waziri wa fedha kwenye hotuba yake ya makadirio ya mapato ya serikali.

Pendekezo lilirudishwa kwa namna gani, kupitia muswaada wa fedha, haieleweki. Ni skandali.

Nasikia vibaya sana kuwa mbunge kwenye bunge lenye maamuzi ya namna hii. Nasikia aibu kwamba hatukupiga kelele za kutosha kuzuia jambo hili."

My take;

Mbowe unapaswa ujifunze UJASIRI na UKOMAVU unapokuwa kwenye siasa. Hisia zako za kudhani wakienda wabunge wote wa CHADEMA ndio itaonyesha kuwa umeguswa na tukio, basi umepotoka.

Maamuzi yako yamepelekea serikali kufanya maamuzi kandamizi kwa wananchi, kwani wote tunajua kuwa Zitto ndiye waziri kivuli wa fedha, na yeye alikuwa na nguvu katika kulisimamia uozo huu usifanyike. Lakini kwa maamuzi ya 'kidikteta' ya Mbowe, taifa limeingia kwenye mzigo mzito.

CHADEMA kwenye hili MMELIANGUSHA TAIFA.
Wala huna nia nzuri kuhusu hiyo mada ila unakilenga cdm kwa ujumla. Kwa nini husemi wajibu wa speaker na wanasiasa kwa jumla baada ya wananchi kule arusha kurushiwa bomu wakati vikao vya bunge vinaendelea?
 
Katika hili sioni sababu kabisa ya kujilaumu kwa sababu kule bungeni kulikuwa na wana ccm na ambao ni wengi sana na walikuwa wanauwezo wakutumia wingi wao kuzuia lililo tokea. Mi nafikiri tulicho kikosa kwa wabunge wa chadema ni michango yao tuu na wamekuwa na michango mizuri lakini wana kosa ushirikiano kutoka kwa wabunge wa ccm hata kwenye mambo ya msingi, hebu jaribu kuangalia michango ya Mh Halima Mdee, Tundullisu baada ya kurudi bungeni walikuwa na hoja nzuri tuu za kuisaidaia serikali lakini walionekana wajinga.

Katika haya hata wabunge wachadema wangekuwepo bungeni wasinge sikilizwa kabisa maana ndio utamaduni wa bunge letu maana maamuzi hufanywa kwa maslai ya chma na idadi ya wabunge wetu wa chadema isinge tosha kunusuru hilo swala maana maamuzi yana fanywa na wengi.
 
We unafikiri hata kama Chadema wangekuwepo wangebadilisha nini, wabunge wa ndioooo!! wapo wengi na ndio hao waliovaa miwani za mbao wasio na uwezo wa kupima mambo ya msingi. ningumu sana.
Hata hizi bajeti kuzijadili hufanya maigizo tu. Wenyewe wameshaandaa bejeti ambazo wanajua atakama ziwe mbovu lazima NDIOOO itawale.
zitto naye mapicha picha tu.
 
Kufuatia maamuzi yaliyo tolewa na Mbowe kwa wabunge wote wa CHADEMA kuacha kuhudhuria vikao vya bunge na kuwaamuru wote waende msibani Arusha, ili kujumuika na makamanda wengine kuwazika wahanga waliopoteza maisha kwenye mlipuko wa bomu, Zitto amefunguka kuhusu kilichopo moyoni mwake kama ifautavyo;

"Kodi ya Tsh. 1000 kwa mwezi kwa kila kadi uliyonayo imeanza rasmi. Bunge la wananchi, wawakilishi wa wananchi, limepitisha kodi hii.

Hailipwi na kampuni ya simu, inalipwa na wewe mwenye simu. Kampuni ya simu ina kusanya kwa niaba ya serikali.

Ingawa sikuwepo wakati j]kodi hii inapitishwa na bunge, siwezi kukwepa wajibu wa kuaibika kwa kuwa sehemu ya bunge hili.

Ni aibu kwa kuwa pendekezo la kodi hii liliondolewa na waziri wa fedha kwenye hotuba yake ya makadirio ya mapato ya serikali.

Pendekezo lilirudishwa kwa namna gani, kupitia muswaada wa fedha, haieleweki. Ni skandali.

Nasikia vibaya sana kuwa mbunge kwenye bunge lenye maamuzi ya namna hii. Nasikia aibu kwamba hatukupiga kelele za kutosha kuzuia jambo hili."

My take;

Mbowe unapaswa ujifunze UJASIRI na UKOMAVU unapokuwa kwenye siasa. Hisia zako za kudhani wakienda wabunge wote wa CHADEMA ndio itaonyesha kuwa umeguswa na tukio, basi umepotoka.

Maamuzi yako yamepelekea serikali kufanya maamuzi kandamizi kwa wananchi, kwani wote tunajua kuwa Zitto ndiye waziri kivuli wa fedha, na yeye alikuwa na nguvu katika kulisimamia uozo huu usifanyike. Lakini kwa maamuzi ya 'kidikteta' ya Mbowe, taifa limeingia kwenye mzigo mzito.

CHADEMA kwenye hili MMELIANGUSHA TAIFA.

Sasa CCM waliokuwemo bungeni kwa nini hawakuzuia hilo anguko la taifa?? Unachozungumza hapa ni kuwa CCM wanaangamiza taifa hili. Sasa basi, badala ya kuwalaumu hao CCM, wewe unawalaumu CDM ambao hawakuwepo kwenye huo mjadala kama ulivyodai. Huoni kwamba unajichanganya mwenyewe?
 
Siamini kwamba kodi hizi zisingepitishwa kama wabunge wa CDM wangekuwepo bungeni..

Mbona kuna kodi zingine kama hii mpya ambayo tanesko wameanza kukata kwenye luku kila mwezi hata huko bungeni sikuisikia?
 
Ukitaka kujadiliana na mimi, nenda kwanza kachukue akili zako ndio huje tufanye mjadala. Hivyo ulivyo siwezi kujadili na wewe. CCM na wabunge wake ni wabovu, je CHADEMA na wabunge wake wakoje? kama mbunge wa CHADEMA anajuta kwa maamuzi ya kipuuzi walioyafanya, tuwajadili awa ambao tunawaona wanafaa. CCM si inajulikana kama ni mbovu,sasa kwanini tupoteze muda kuwajadili?
Akili zangu ninazo zote ndiyo maana naweza kugundua hutumii akili kuona kuwaa kwa Zitto kuwa bungeni kungebadili msimamo wa serikali.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Acha pumba....maamuzi yalipigiwa kura hata cdm wangevimba kama chatu.au simba yangepita tu toa upppuuuuzi wako
 
zitto ni kijana mwajibikaji. Amegundua kuwa jambo alilofanya yeye na wabunge wengine wa chadema si sawa, kwani atleast wangekuwepo wangeweza kupigia hilo jambo kelele. Hata kama wasinge badili kitu, hata kulisemea tu wananchi wakajua, ni bora zaidi.

Mimi namkubali sana zitto, haoni vibaya kukubali kosa lake, tofauti na wanachadema wengine.

Zitto ndiye jembe chadema, kwani ameiva kisiasa.

huna lolote zaidi ya uchonganishi tuu+unafiki. Hivi ni mara ngapi zitto amekuwa akipiga kelele kwenye mambo mengi ya msingi lakini mna waona wajinga na hakuna linalo fanyika? Zitto amekuwa akiongelea swala la uwazi kwenye mikataba hasa ya madini lakini mna muona mpiga kelele. Mbona hayo amtekelezi kama kweli mnasikiliza na kuheshimu majembe akiwemo zittoi?
 
Zitto ni kijana mwajibikaji. Amegundua kuwa jambo alilofanya yeye na wabunge wengine wa CHADEMA si sawa, kwani atleast wangekuwepo wangeweza kupigia hilo jambo kelele. Hata kama wasinge badili kitu, hata kulisemea tu wananchi wakajua, ni bora zaidi.

Mimi namkubali sana Zitto, haoni vibaya kukubali kosa lake, tofauti na wanaCHADEMA wengine.

Zitto ndiye jembe chadema, kwani ameiva kisiasa.

Kwa hiyo wabunge wa CCM hawakuliona hilo??

Yaani wabunge 200+ wa CCM walikaa na kupitisha leo Zitto kasema hivi anaonekana ana akili na mwajibikaji. Hii ina maana akili za wabunge 200+ wa CCM walishindwa kureason kama Zitto.

Kwa hili mimi naona mnawadharirisha wabunge 200+ wa CCM!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom