Zitto na PAC yake waliteleza?

ZITTO anawanyima usingizi wasaka tonge!! Ndio maana bila kumtaja rear opening zenu haziishi kuwawasha!!!
 

tusubiri tuone
 
Polisi nao waliwakamata hawa jamaa wa TPDC kwa kosa lipi? Nani aliagiza wakamatwe?
 
ZITTO anawanyima usingizi wasaka tonge!! Ndio maana bila kumtaja rear opening zenu haziishi kuwawasha!!!

Comments za kipuuzi hazilipi, jibu hoja na sio matusi kama kweli uko vizuri
 

kumbe unazijua sifa za zitto??
 
kumbe unazijua sifa za zitto??

Hana hizo sifa, kama angekuwa nazo wasingeziweka kwenye waraka wa siri kwamba ziwe propagated kama sifa sahihi za mwenyekiti.

Chema chajitangaza.

Na ukitaka kujua kwamba ni kilaza.

Hizo mikataba hato zipewa kwa style aliyotumia, labda achukue hizi zinazoletwa na BAK hapa.

Mi nae naandika utadhani alikuwa anataka mikataba kweli.
 
Last edited by a moderator:
Zitto zuberi kabwe kipenzi cha wazalendo, mnamgwaya ndio maana kila kukicha hamuishi kumtaja kwenye vinywa vyenu vichafu!!!
 
bila kupoteza muda na mada yako, huyo ndo mh. Zitto Kabwe, mpigania masilahi ya taifa na sio hao wasaka tonge wengine.


 

Ni Kweli waliteleza ...walitakiwa kupata Kibali cha spika ...kabla ya kuwatia ndani wale Jamaa ...,Sioni kwanini hawakuomba kile kibali ..week Moja kabla ..unless walikuwa na mashaka kuwa spika angepitisha wakamatwe ..
Wamefanya kazi nzuri though Jamaa wanaweza KUDAI fidia...UJUMBE umefika .....though Kisiasa wanaweza Kuiweka Kama vile wajumbe walitaka kupata faida ya kisiasa
 
Toa M.A.V.I yako haya, unaandika uji.nga, pa.nya kabisaa wewe huna uchungu na nchi yako na utakuwa umetumwa. M.Bwa kabisa..
 
I appreciate the comment. Inawezekanaje sheria iko wazi kiasi hiki halafu akosee? Tena amenukuu kabisa. Hii ni makusudi anataka simple popularity huyu.
 
Hilo nalo neno.

Kubaliana na bw.Zumbemkuu kwa huu nao ni usanii wa kumwinua Zitto lakini waona mbali wameshtukia mcezo. Haya ni maigizo kama ya fire kuwaambia watu ndege imeanguka uwanjani na kwa sasa inawaka moto na kuleta taharuki bure kwa wananchi. Kama yeye Zitto anaelewa makamu m/kiti wa tanesco na mwenyekiti wa bodi wana viongozi wa juu kama waziri na mwanasheria mkuu wa serikali kwa nini asilalamike kwao au kutaka maelezo yao kuhusu sheria? Hivi yeye haelewi mikataba inafungwa na vufungu kuhusu kuitoa hiyo mikataba hadharani na kinyume chake ni kwenda kinyume? Sasa huko polisi zaidi ya kuandika maelezo ambayo naamini wameeleza hayo hayo waliyomweleza Zitto hawakuambiwa warudi makwao? Hata huo usanii ukiendelezwa kwa kuwapeleka mahakamani wanategemea matokeo yapi? Kwa hili hatudanganyiki. Na tegemeeni usanii zaidi kwani hamkuyasikia majibu aliyopewa Kafulila leo kuhusu bunge kujadili escraw account. Na mnategemea tume huru ya bunge iundwe? Na hata hizo taarifa za mkaguzi mkuu na ya Hosea mnategemea zionyeshe kuna hela ya serikali imepotea?
 

Tanzanian. Mko busy kutizama weaknesses za individuals, badala ya kuangalia masuala muhimu. Inshu sio kukamatwa, Inshu ni MIKATABA iwasilishwe kwenye kamati ya PAC. Nadhan swali la kujiuliza ni kwann inafanywa siri kiasi hicho? Wanaficha nn na kwann?

Wananchi nadhan tungewapokea wajumbe wa PAC, Kwa kudemonstrate na kushinikiza serikali iweke wazi hiyo mikataba, ili Mafisadi wajukikane... Tuache kushambuliana, we r Loosing the Big Target here... Halafu, humans tunakosea, we deserve second Chances, Let us not Loose hope completely kwa Mh. Zitto, Mimi binafsi naona anafanya kazi nzuri... Tumpe support. Tuache Ujuaji, Na unabii wa kijinga.
 

umeeleweka sana mkuu! safii

ila ndio hivyo tena aliye juu
 

Nasikia Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati E. Maswi aliingilia kati na kusema kua Zitto na kamati yake hawana mamlaka ya kuwaweka ndani kwa hiyo ni makosa kuwaweka ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…