Nadiriki kusema hivi nina wasiwasi na elimu ya Mwigulu Nchemba msomi ambaye hajui kebehave kama msomi...
1.Kama ni msomi huwezi tupa bajeti ya mwenzako kisa Mpinzani wasomi huwa wanargue kwa hoja na vielelezo.
2.Msomi huwa hana matusi wala kejeli narudia tena wanatoa hoja.
3.Nilitegemea first class economist awe tofauti kidogo..atupe kitu special kwenye bajeti ambacho sisi wa kawaida hatukioni.
4.Iga mfano wa mchumi maarufu Prof.lipumba anatoa hoja tu na sio kejeli wala kutupa bajeti ya Wapinzani.
5.TBC leo Mwigulu kachemka hajui ni kitu gani anapaswa kuongea hasa akiwa na watu makini kama kina Zitto na sio wale wachumia tumbo.
6.Aina hii ya watu wapo wengi kwenye chama chetu na hakika nakwambia hawa ndio watakaokuja kuwa viongozi wetu wa baadae na wanakuja kuuza hii nchi.
Nawasilisha.
Kwani "A" PUBLIC finance ni kitu gani bhana MWIGULU NCHEMBA?
Mbona hiyo umeshindwa kuitafsiri kwenye maisha ya kawaida ya WATANZANIA??Hivi mbona PROF.I. LIPUMBA akichambua kitu anatumia lugha nyepesi mpaka mtu asiyeenda shule anamwelewa??
Lakini pia wewe unafikiri nchi hii ni wewe peke yako umesoma MACROECONOMICS NA UMEIELEWA SANA KULIKO WENGINE WOTE NCHI HII?Hata mimi nina "A" ya uchumi lakini siwezi kujifanya much know kama wewe huwezi jifunza kwa wenzio kina JANUARY MAKAMBA?
Wanaongea pale inapobidi kwani wewe ndio wa kwanza kupata "A" ya UCHUMI?Mbona LIMBUKENI SANA WEWE?Unatakiwa uombewe kwa kupenda kuchukua wake za watu kama MCH. MSIGWA ALIVYOSEMA JANA ALIKULENGA WEWE,UNAKUMBUKA KULE IGUNGA ULIFUMANIWA NA MKE WA KADA MWENZIO WA CCM???
mjadala huo nafuatilia kaz ipo hapo nan ni nan hapo...