Elimu yako?Zakuambiwa changanya na zako Jomba. alikuwapo magufuli apa hili jukwaa lilijaa unjinga wa maposti Sukuma gang na ungese kama huo kumbe tunakuja kushtuka hamna kitu kama hicho, ni Machadema ilikosa kazi inapenda umbeya usowalipa. Now wameona wamtumie huyo chakubanga ati nae atikishe watu na hoja zake mfu ati mtandaooo . Machadema wote MAKU.
Kutumia lugha ya matusi ni ishara ya udhaifu wa kujenga hoja.Zakuambiwa changanya na zako Jomba. alikuwapo magufuli apa hili jukwaa lilijaa unjinga wa maposti Sukuma gang na ungese kama huo kumbe tunakuja kushtuka hamna kitu kama hicho, ni Machadema ilikosa kazi inapenda umbeya usowalipa. Now wameona wamtumie huyo chakubanga ati nae atikishe watu na hoja zake mfu ati mtandaooo . Machadema wote MAKU.
Vyovyote vile tumewachoka aiseee .Kutumia lugha ya matusi ni ishara ya udhaifu wa kujenga hoja.
Mbowe ameshaondoka Chadema yuko Project Chaumma.kwahiyo CHadema nacho ni chama cha wanamtandao?
Na ni chama mtandao, mzee wa ubwabwa kasema atasema mfadhili waoMbowe ameshaondoka Chadema yuko Project Chaumma.
Pigia mstari hao wawili wanamiliki vyama vya project maalumuKuna Habari za ndani zinasema mfadhili mkuu wa ACT wazalendo na mtu aliyemshawishi Zitto kuondoka chadema ili chadema ife baada ya vikao kadhaa ni Rostam Azziz.
Je inawezekana ndio sababu ya Mbowe kuwasaliti Lissu,Mnyika na Slaa na kuamleta Lowassa chadema mwaka 2015?
View attachment 3462609Je Mbowe na Zitto ni wanamtandao au sio?
Nchi yetu mtu mwizi anaitwa Genius, sawa ngoja tuseme Genius kwetu ila China ananyongwa mtu wa aina hiiRostam Aziz ni genius.
Genius ukimuweka na watu wenye akili ndogo lazima awapelekepeleke.
Tusimlaumu Rostam, tujilaumu sisi wenyewe.
Mbowe ameshaondoka Chadema yuko Project Chaumma.
Nchi yetu mtu mwizi anaitwa Genius, sawa ngoja tuseme Genius kwetu ila China ananyongwa mtu wa aina hii
Nchi yetu mtu mwizi anaitwa Genius, sawa ngoja tuseme Genius kwetu ila China ananyongwa mtu wa aina hii
Hawa wote wako kwenye payroll ya Rostam Aziz.
Kweli mkuuChina kuna watu wenye akili, wangemkamata fasta. Ila kwa sababu sisi IQ ndogo wacha atupelekepeleke.