Zitto na Mbowe nao ni Wanamtandao?

Zitto na Mbowe nao ni Wanamtandao?

Griss

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2025
Posts
337
Reaction score
1,945
Kuna Habari za ndani zinasema mfadhili mkuu wa ACT wazalendo na mtu aliyemshawishi Zitto kuondoka chadema ili chadema ife baada ya vikao kadhaa ni Rostam Azziz.

Je inawezekana ndio sababu ya Mbowe kuwasaliti Lissu,Mnyika na Slaa na kuamleta Lowassa chadema mwaka 2015?

FB_IMG_1756813819937.jpg
Je Mbowe na Zitto ni wanamtandao au sio?
 
Zakuambiwa changanya na zako Jomba. alikuwapo magufuli apa hili jukwaa lilijaa unjinga wa maposti Sukuma gang na ungese kama huo kumbe tunakuja kushtuka hamna kitu kama hicho, ni Machadema ilikosa kazi inapenda umbeya usowalipa. Now wameona wamtumie huyo chakubanga ati nae atikishe watu na hoja zake mfu ati mtandaooo . Machadema wote MAKU.
 
kwahiyo CHadema nacho ni chama cha wanamtandao?
 
Zakuambiwa changanya na zako Jomba. alikuwapo magufuli apa hili jukwaa lilijaa unjinga wa maposti Sukuma gang na ungese kama huo kumbe tunakuja kushtuka hamna kitu kama hicho, ni Machadema ilikosa kazi inapenda umbeya usowalipa. Now wameona wamtumie huyo chakubanga ati nae atikishe watu na hoja zake mfu ati mtandaooo . Machadema wote MAKU.
Elimu yako?
 
Kutumia lugha ya matusi ni ishara ya udhaifu wa kujenga hoja.
 
Rostam Aziz ni genius.

Genius ukimuweka na watu wenye akili ndogo lazima awapelekepeleke.

Tusimlaumu Rostam, tujilaumu sisi wenyewe.
 
Kuna Habari za ndani zinasema mfadhili mkuu wa ACT wazalendo na mtu aliyemshawishi Zitto kuondoka chadema ili chadema ife baada ya vikao kadhaa ni Rostam Azziz.

Je inawezekana ndio sababu ya Mbowe kuwasaliti Lissu,Mnyika na Slaa na kuamleta Lowassa chadema mwaka 2015?

View attachment 3462609Je Mbowe na Zitto ni wanamtandao au sio?
Pigia mstari hao wawili wanamiliki vyama vya project maalumu
 
Halafu kuna watu huwa mnawasahau kundi la mtandao sijui ni bahati mbaya au makusudi......!
 
Back
Top Bottom