The Boss, is it true kuwa Mghira ni Mwenyekiti wa ACT au ni gheresha ya Zito! Zito ni nani? if you are a good follower of siasa za hapa, of recent Mghira alitoweka kabisa katika siasa za ACT!Siku hizi ukimsikia Zitto anazungumza unabaki unajiuliza..
is this real?
Nimemsikia akisema atagombea Urais wa TFF
nikabaki na maswali tele...Urais wa TFF ndo shida kuu ya watanzania kwa sasa?
Nilifikiri ukiwa kiongozi wa kisiasa kwanza kabisa unakuwa busy na
mambo makuu yanayo wasumbua wananchi kwa kipindi hiko
sidhani Urais wa TFF inaangukia huko
Sasa mara nikasikia Rais kamteua Kitila Mkumbo..
ajabu ilikuwa kwa Zitto kuunga mkono teuzi hiyo
Sasa leo Mwenyekiti wa ACT anaenda kuwa mkuu wa mkoa..
imagine that....
Sijui na hili Zitto utatuambiaje?
Utaunga mkono ni sahihi pia na jambo jema?
Boss labda(labda) kaona TFF kuna matatizo anataka kuyatatua pia. Au matatizo ya mpira umeya exclude kwenye matatizo ya Tanzania?
ACT, kwa teuzi hizi 2020 tutegemee kumsapoti jamaa kwa vyovyote vile.
The Boss, is it true kuwa Mghira ni Mwenyekiti wa ACT au ni gheresha ya Zito! Zito ni nani? if you are a good follower of siasa za hapa, of recent Mghira alitoweka kabisa katika siasa za ACT!
ACT ilipata kura ngapi uchaguzi uilopita? Negligible effect! wacha wamsapoti!Boss labda(labda) kaona TFF kuna matatizo anataka kuyatatua pia. Au matatizo ya mpira umeya exclude kwenye matatizo ya Tanzania?
ACT, kwa teuzi hizi 2020 tutegemee kumsapoti jamaa kwa vyovyote vile.
Unajua tulivyo popularity ni kigezo kikubwa cha kupewa/kura uongozi.Ana uzoefu wa kuongoza michezo?
akiingia huko akashindwa atakuwa kajiongezea CV au kajiharibia?
Hapo toa asilimia ya watakao kataa kuburuzwa.ACT ilipata kura ngapi uchaguzi uilopita? Negligible effect! wacha wamsapoti!View attachment 518728
Tunaweza kuishi bila Mpira....ila Mpira hauwezi kuwepo bila ya sisi Mashabiki.Boss labda(labda) kaona TFF kuna matatizo anataka kuyatatua pia. Au matatizo ya mpira umeya exclude kwenye matatizo ya Tanzania?
ACT, kwa teuzi hizi 2020 tutegemee kumsapoti jamaa kwa vyovyote vile.
Unaweza kuwa sahihi mkuu.Tunaweza kuishi bila Mpira....ila Mpira hauwezi kuwepo bila ya sisi Mashabiki.
Lakini SIASA ndio maisha na MUSTAKABARI wa kila Mwananchi...
Ni vyema BWANA zuberi akaelekeza AKILI na NGUVU zake katika Siasa...
Ama tuamini kuwa KASHINDWA....!!!
Ama ni mradi tu atimize kile kitu kuitwa RAISI..!?
Aachane na mambo ya TFF nchi yenyewe hii imekwisha pachikwa jina kuwa ni KICHWA CHA MWENDAWAZIMU katika medani ya SOKA...
Tunaweza kuishi bila Mpira....ila Mpira hauwezi kuwepo bila ya sisi Mashabiki.
Lakini SIASA ndio maisha na MUSTAKABARI wa kila Mwananchi...
Ni vyema BWANA zuberi akaelekeza AKILI na NGUVU zake katika Siasa...
Ama tuamini kuwa KASHINDWA....!!!
Ama ni mradi tu atimize kile kitu kuitwa RAISI..!?
Aachane na mambo ya TFF nchi yenyewe hii imekwisha pachikwa jina kuwa ni KICHWA CHA MWENDAWAZIMU katika medani ya SOKA...
Ukweli ni kuwa Rais JPM kuwapa uongozi serikalini viongozi waadamizi wa ACT ~ Wazalendo ni kukidhoofisha Chama kwa sababu zaidi ya 98% hawatakataa hizo teuzi na wala Zitto hana mamlaka ya kumkataza Mteule.ataunga mkono mara ngapi????? mpka barua ya uteuzi itoke ikulu huwa wanawasiliana kabla na kukubaliana. inamaana mama na uongozi wa ACT walishakaa kikao na zito akalibariki hiloo.
usitegemee atajitokeza kuponda/kupinga hiloo.