Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Lakini unaweza kushangaa ukija kugundua kuwa kuna wananchi wa kawaida kabisa ambao wamekaa kimya tu kama wewe wakihifadhi maoni yao.

Hivyo hauko peke yako.

Ila na wewe waonekana una uwezo wa kuunganisha dots.
Siku hizi unakufa na kitu rohoni tu hamna namna. Wee Mimi napenda Ku connects dots from different angles
 
Kigoma balaa,hatanii huyu nimefika ohoooo ni shida.Mnakumbuka Mdhihiri Mdhihiri yalompata baada ya kumnyooshea mkono Zito?mkono ulivunjika
 
Mkuu hili swala lina mambo mengi sana wewe chunguza from different sides hao watekaji wana lao jambo hata either kuchafua uongozi, au nchi ili kuwatisha hata wawekezaji kwenye mambo ya uchumi. So hii kitu ina assumptions nyingi bado
 
Nijambo jema kama amekwambia ivo umuulize pia mbona haandik tena hbr za zito ndo utajua doz aliyo pata sio poa
Hata hilo nalo nilimuuliza. Kanihakikishia kuwa bado anakusanya hizo habari nzito na atazichapisha hivi karibuni. Kaa mkao wa kula.
 
Hahaha kuna jamaa tulikuwa tunasoma nae ni mtu wakigoma aliniambia mama ake zitto alikuwa mchawi hatari sa sijui alikua anamaanisha au story za kijiweni

Na Wewe ukaamini? Waswahili bhana!
 
Hivi Zitto hawezi kutumia uchawi wake kumtafuta Mo.
 
HAAAAAAAAAAAAAAA uiuuuuuuuuuuuuuuuuu iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wewe noma sana kama babu yako alexander the great,ati awape match, ya nyumbani tu,nakwambia hao watu wasiojulikana hawawezi kamwe kumugusa zitto, yaonekana huyu zitto amejiandaa kweli kweli
 
Yule bb ndio alikuwa anam-recharge zzk. Ndio maana alipokufa tuu umaarufu wa zzk umeporomoka gafla anabaki kutapatapa tuu mitandaoni
zitto anatapatapa,????????????????????????,je kaa zitto anatapatapa je kichaa nae anafanya aje,nipe jibu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…