Zitto: Mtaona Bwawa Tu...

Zitto anazingua. Kipindi kile kamtisha Musiba nkajikopesha bia kujipongeza mpaka sasa nadaiwa na Musiba yupo anadunda
Mbona Musiba kaota majipu makalioni? Kama anabisha ayaonyeshe basi tuone! Tembea yake tuu ishaonyesha tayari
 
Jamaa project zao za kuteka huwaga wanazifanya kiboya sana " Mpaka kila mwenye akili anajua wahusika ni kina nani "..
 

Uko sawa kabisa.

Kuna jambo kubwa behind the scene na endapo sisi wananchi tutagundua tutashangaa sana.

Zitto akiwa ni mwanasiasa anapaswa kuwa makini na kila aongeacho au kuandika maana hakuna kitu kibaya kama ushahidi wa maandishi.

Khasa pale unapoandika maandishi mengi kila kukicha.
 
Yule bb ndio alikuwa anam-recharge zzk. Ndio maana alipokufa tuu umaarufu wa zzk umeporomoka gafla anabaki kutapatapa tuu mitandaoni
Wacha bwana..anakua charged kama betri au
 
Hakuna cha uchawi wala mavi ya uchawi, Mungu akiamua ni siku yako, basi iwepopote pale utakwenda mbele yake.

Kama kweli ndugu Z anao uwezo huo, mbona usimsaidie kushinda chaguzi, kuwa na wanachama wengi. Kama ana nguvu ya kumzuia mwanadamu kwa nini asiwe na uwezo wa kumshawishi mwanadamu wamchague awe raisi
 
Sisi wananchi tunaweza kuona mbona hivi siku tukijua ukweli wa hili jambo tutabaki midomo wazi mengine hutokea kwa masilahi ya nchi.

Zitto yeye anajua hii ni awamu ka ya Jakaya maana yeye aliwachekea awamu hii na sheria zilizo sio wakuwatisha eti wataona bwawa.
 
Jamaa anajua kucheza na mazwazwa yasiyojulikana kama yanaamini ushirikina..

Uchawi ungekuwepo tungetumia software za asili kumtafuta MO nadhani tungempata siku ile ile
Zitto ana akili. Anajua wasiojulikana wanapenda sana ushirikina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…