Zitto: Miradi ya SGR,Stigler na ndege kuipaisha nchi

Victor wa happy- hana upole wowote- wabunge wote wa Kigoma wanasimama na mawaziri wazaliwa wa Kigoma. Cheche zao wanazitema siku hizi wizara ya biashara, kilimo na mambo ya ndani. UNAFIKI MKUBWA
Si kweli kamanda
 
Si kweli kamanda
Wakudadavuwa, AMINI NAKWAMBIA Mh. Zitto, Serukamba wahachangii zinapokuwa hoja zimeletwa na Mpango na Ndalichako= KIMYA sasa waje akina Kange, ndo utaona uchumi wanavyoujua- KAMANDA WAHA WALE WANAFIKI SANA
 
huwezi muamini huyu kijana ndo sifa ya waha ni fitina na vigeugeu,ila huyu anaakili sana
 
Zitto Kabwe akiri utendaji kazi bora wa Rais John Magufuli.

"Serikali ya Awamu ya tano imekuwa thabiti katika utekelezaji wa miradi yake mikubwa,ni B+ ni thabiti haijayumba na imetenga na kuongeza fedha za bajeti kupeleka kwenye miradi hiyo bila kuyumba wala kugeuka kama awamu zilizopita,fedha inakosekana katika mzunguko kwa Wananchi kutokana na fedha kuelekezwa kwenye miradi mikubwa,Awamu hii imeamua sawa na kusema nitafeli hapa lakini nitatekeleza ujenzi wa miradi hii mikubwa,ni kitu kizuri sana" Zitto Kabwe.

Tunashukuru mwezi mtukufu kwa kumuokoa Zitto Kabwe na kuwa kiumbe kipya.
 

Kwa kauli hii ya Zitto ambaye ni mkosoaji mkubwa wa serikali ya Magufuli, ninadhani itakua ni msumari wa moto kwa wale wanaopinga kuhusu jambo hili."Hapa Kazi Tu".
Kasema serikali imekua consistence kwenye miradi yake ilio anzisha kila mwaka inaiongezea pesa...isipo kua hiyo miradi inatoa pesa nje sio inaingiza kwenye uchumi kwahiyo uchumi utapata matatizo.....hapo kapongeza nini au kasifia nini? serikali kuendelea na miradi yake ambao aikuzi uchumi.
 
Sijui nifunge novena kuiombea nchi yangu? Nishaurini wakuu
 
Kasema serikali imekua consistence kwenye miradi yake ilio anzisha kila mwaka inaiongezea pesa...isipo kua hiyo miradi inatoa pesa nje sio inaingiza kwenye uchumi kwahiyo uchumi utapata matatizo.....hapo kapongeza nini au kasifia nini? serikali kuendelea na miradi yake ambao aikuzi uchumi.

Linganisha Zitto na Heche, wote ni wapinzani, wewe unamuamini nani?. Huo ndio upinzani tunaoushabikia, hivi wanaoshabikia hawa wana akili kweli?
 
Back
Top Bottom