Zitto: Miradi ya SGR,Stigler na ndege kuipaisha nchi

W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
12,790
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
12,790 2,000
Ndugu zangu,

Mdogo wangu Zitto Kabwe kaonesha njia kwa upinzani kwani kupinga mambo yanayoonekana kwa wananchi ni sawa na kuwa kichaa.
screenshot_20190605-100545-jpeg.1118261
 
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Messages
11,707
Points
2,000
Victor wa happy

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2013
11,707 2,000
Kwahiyo sisi wapiga kura tumwamini nani?

Tunajua Zitto ameanza kuwa mpole sababu uchaguzi umekaribia
Asije akapokonywa ubunge wake
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
3,616
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
3,616 2,000
Wapenda sifa hata msizostahili mmeanza kumlisha maneno ,mradi tu mpate sifa hebu tuwekee vidio basi .
 
issenye

issenye

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
2,389
Points
2,000
issenye

issenye

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
2,389 2,000
Tatizo lenu wanaccm hamjui kutofautisha kati ya kupinga na kushauri. Mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na yenu hata kama atawashauri namna bora ya kutekeleza hiyo miradi mtasema kuwa anawapinga.
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
10,016
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
10,016 2,000
Hata hivyo amesema changamoto ya miradi hiyo ni kutoingiza fedha katika uchumi na ...
 
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2016
Messages
12,790
Points
2,000
W

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2016
12,790 2,000
Kwahiyo sisi wapiga kura tumwamini nani?

Tunajua zito ameanza kuwa mpole sababu uchaguzi umekaribia
Asije akapokonywa ubunge wake
Teh teh sasa ukipita Moro hadi Dodoma wananchi wanaiona SGR halafu wewe unapinga wanakudharau
 
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
18,942
Points
2,000
imhotep

imhotep

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
18,942 2,000
Zitto ameamua kusifia ili wazidi kujikoroga na hiyo miradi mikubwa.
 
Mayala B

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Messages
1,081
Points
2,000
Mayala B

Mayala B

JF-Expert Member
Joined May 13, 2019
1,081 2,000
Mimi napinga alichosema zito
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
14,226
Points
2,000
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
14,226 2,000
Ni kweli.ATC hawakuwa na ndege kipindi cha JK.
 
Pelle mza

Pelle mza

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Messages
2,391
Points
2,000
Pelle mza

Pelle mza

JF-Expert Member
Joined May 15, 2008
2,391 2,000
Tatizo lenu wanaccm hamjui kutofautisha kati ya kupinga na kushauri. Mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na yenu hata kama atawashauri namna bora ya kutekeleza hiyo miradi mtasema kuwa anawapinga.
Tunakataa matusi, kejeri, dharau, kubagaza, mipasho, uongo,uzandiki,unafiki, nongwa, jeuri, ukaidi, kibri, vurugu,maandamo bila kibali,uzwazwa,upopoma,utekaji, ubakaji, uuaji, ushoga, ubinafsi, uchoyo, kujikweza, kutweza, rushwa, kukwepa kulipa kodi, ulanguzi, uhujumu uchumi, migomo....!!
 
Pelle mza

Pelle mza

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2008
Messages
2,391
Points
2,000
Pelle mza

Pelle mza

JF-Expert Member
Joined May 15, 2008
2,391 2,000
Na huko mwishoni mbona umeikata hiyo taarifa. Hopeless kabisa. Ukileta kitu leta kikiwa kimekamilika.
Amefika kileleni au unataka kumuua!
 
S

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
3,793
Points
2,000
S

sem2708

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
3,793 2,000
Ndumila kuwili... as always ...
 

Forum statistics

Threads 1,335,206
Members 512,271
Posts 32,499,052
Top