Zitto:Mijadala ya Budget inaboa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto:Mijadala ya Budget inaboa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nduka, Jun 20, 2011.

 1. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kupitia Twitter Zitto leo alonga: Mijadala ya Bajeti haina mwelekeo kabisa. Nashangaa nipo vipi humu ndani.
   
 2. HansMaja

  HansMaja Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  nawaambie wanzake watoke. Halafu wakishatoka waongee na waandishi wa habari
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,606
  Likes Received: 82,206
  Trophy Points: 280
  Si uongo ni kweli kabisa.
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kiukweli kama taifa sijui tunapoelekea, maana bunge limekuwa kama ni jukwaa fulani la watu kujibizana tena sio kwa tija bali kama alivyosema Mpoto 'kwakuwa kwenye luninga live wanauza sura'. Umaarufu wa kisiasa ndio unatusumbua.
   
 5. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Linaendeshwa kimjini mjini.
   
 6. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kinachohudhi zaidi ni pale Mibunge ya CCM inaposimama na kusema inaunga mkono hoja kwa asilimia mia moja 100% na kutumia dakika kumi kuukosoa muswada aliouunga mkono kwa 100%! Hawa jamaa wanatumia kiungo kingine cha mwili kufikiri na si Kichwa kama sisi wengine! Hivi kwani sifa ya kuwa mbunge wa CCM ni lazima ujitoe akili!
   
 7. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kikariakoo kariakoo.
   
 8. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  ...ni juu ya "kukubali hoja kwa 100%" alafu unakuta waheshimiwa wanatumia dakika 10 kupendekeza marekebisho au!? By the way, nilimuona hata Mh. Mama Zhakia Meghji anachangi hoja
   
 9. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Hii sio kimjini mjini mkuu hii ni Somalia style, bunge limegeuka kama kijiwe cha ma opportunist flani hivi.
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Na huu mjadala pia tukiupeleka ki CCM au ki CDM pia utaishia huko huko, kwani hata hao wabunge wa CDM pia wanashiriki kuharibu mijadala so ni bora tuzungumzie wabunge wa TZ na kuacha huu ugonjwa unaolitafuna taifa.
   
 11. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli kabisa ni kupoteza muda, na mbaya zaidi niubadhilifu wa kodi za wanyonge
   
 12. evelyne

  evelyne Member

  #12
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nilidhani sielewi kumbe wenzangu mmeliona hilo last week nalikuwa nasikiliza bunge moja ya mambo niliyoyaoona ni wabunge wa chama kikuu wakianza kuchangia mada kwa kuanza kusema naunga mkono asilimia 100 halafu anachangia sasa nikajiuliza anachangia nini wakati kwa kusema tu anakubali kwa asimilia 100 alibidi akae chini awape wenzake nafasi.Hv ni kweli hawajui au ni makusudi?
   
 13. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Si vizuri kulalama bali ni wakti wake muhimu sana yeye na chama chake kuleta hamasa kwa kutoa facts na wanchi wenye ueleo watakuwa pamoja nao.
   
 14. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama issue ni fact au la basi ni jinsi uwasilishaji wa hizo fact unavyofanywa.
   
 15. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  hahaha CC MAGAMBA bwana ;;
   
Loading...