Zitto mfundishe Membe changamoto ya kupambana na Watawala

Zitto mfundishe Membe changamoto ya kupambana na Watawala

Choko lingine hili!!!licha ya kujipendekeza kwa watawala kila kukicha lakini hata U-DAS tu halijakumbukwa!!!uza makalio hayo sasa pengine utakumbukwa
Jibu fact.. Nani leo hii hajui fukuto la kumtoa Mbowe??
Na kila aliyejaribu kashinda kuanzia Dr. Aman Walid Kabourou.. Chacha Wangwe..Zitto Kabwe
 
Choko lingine hili!!!licha ya kujipendekeza kwa watawala kila kukicha lakini hata U-DAS tu halijakumbukwa!!!uza makalio hayo sasa pengine utakumbukwa

Demokrasi Uhuru Wa Kuandika. Demokrasia. Wanachadema mnakosea wapi. Mbona aliyekinyume na Ideas na Interests zenu hamuwezi kumpokea kwa lugha nzuri. Hivi hapa mnataka kumdanganya Nani kuwa Nyie hamnyenyekei mahali kwa manufaa binafsi. Hata huku ulaya hiyo ni kawaida. Kiatu cha baniani mbaya ni Dawa.
 
Utasugua sana bench hapo Lumumba. Rekodi yako ya wizi uliofanya huku Chadema itakutafuna mpaka mwisho wa dunia. Na kosa lingine ni kuwa ulijipeleka.mwenyewe huko.
Labda akubali kuwa matumizi kinyume na utaratibu basi atafikiriwa mapema.
Hapo Lumumba wanawaharibu sana vijana wapenda mtelemko.
 
Zitto alipambana na Mbowe ambaye hakuwa na vyombo tena ni fisadi na viongozi na wanachama wote wa CHADEMA tulikuwa tunajua hivyo lakini hakufanikiwa na almanusara apotee kisiasa.

Sasa Membe na wenzie wanapambana na Magufuli "Rais " wataweza wapi? Wanataka kuharibu career yao buree!

Zitto washauri vizuri wenzio
Inawezekana wewe ndio ufundishwe sababu hujui adui wa ndani mbaya kuliko wa nje na huyo Membe anaijua system vizuri kuliko Raisi pia usifananishe ya Cdm na Ccm kabisa. Hali ilivyompaka sasa Raisi anacheza ngoma ya Membe. Tambua hilo Benson Mramba naomba utunze hii for your records.
 
Back
Top Bottom