Zitto matatani tena

Zitto matatani tena

Unafiki wa huyu dogo hautafichika.mwenzako (kitalu mkumbo) ameshadoda na sasa anaikana cdm kweupe si gizan tena.
 
haya ndo madhara ya kuwa msaliti,unapokuwa vitani unapambana na adui then,adui anakurubuni na unaanza kuua askari wenzako,mwisho wa yote huyo adui atakuua hata wewe,kwani wewe sio mmoja wake,wewe ni kama toilet paper tu,ukishatumiwa kuchambiwa unatupwa.the system has aborted him.kwishneyyyyyy

Duh, surely.
 
Ukimkana Zitto, umeukana uzalendo wako. Siasa ni mchezo mchafu. Madudu ya nchi hii huonekana kwa jicho pevu. Anayeitwa msaliti Tanzania, ndiye msemakweli kwa critical thinkers. Think Big to Get Big results. Zitto ni mwiba kwa Chadema, Mafisadi na Serikali kwa ujumla. Kwa namna yoyote, mabadiliko ndani ya Chadema yanahitajika. Hakuna demokrasia ya kweli. Kama Chadema kitachukua dola kabla ya mabadiliko hayo, nchi itakuwa imepotea.

we dada hebu twende taratibu, unataka chadema ibadilike iwe ccm?

maccm mshafeli tena, hivi wewe unawatishia wanachadema kwamba lazima wampende/wamuunge mkono zitto!!!!!!!"
kama mwampenda mpeni uenyekiti "anaoutaka" wa ccm full stop
 
Hivi kuna correlation yoyote kati ya aya hizo mbili zenye maneno niliyo-bold hapo juu kweli? Au ndio waandishi makanjanja hawa, wenye vyeti vya Division 5 lakini baada ya miezi 3 unawasikia wakijiita Waandishi wa Habari? Sijawahi kuona nchi yenye vilaza kama hii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

We upo nchi gan mkuu??
 
CDM bila zitto haiwezekani..........!!!!!!!!!
hamuwezi kumpa zitto tuhuma za kitoto namna iyo,anafahamika ni mtanzania wa kweli,hayupo kicham,yupo ki-Tanzania zaidi,,,
hata ccm wana-mhanya,kama kunasehemu cdm mmkosea kufukuza ni kwa zitto...........
shame on cdm

CCM ingekuwa inamuhanya,isingepigana kutwa kucha kutaka awe mwenyekiti wa Chadema.
 
Back
Top Bottom